pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,643
- 3,020
Kama izo boss. Iyo yako sijawahi kuionaView attachment 1019352View attachment 1019354View attachment 1019355[/QUOTE
Bei gani ]
Kama izo boss. Iyo yako sijawahi kuionaView attachment 1019352View attachment 1019354View attachment 1019355[/QUOTE
Bei gani ]
Nahitaji Samsung Galaxy S7 edge kama unaweza kuwa nayo.Iphone6 grey color 32gb bei 550k ipo darView attachment 1019626View attachment 1019627
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nahitaji Samsung Galaxy S7 edge kama unaweza kuwa nayo.
Hakuna nyeupe tupu mkuu,mana nyingi zina sura ile ile ipe lakini ni za mchina (fake)Unaweza kuziagiza online na unazipata chini ya elfu kumi, tena original kabisa. Mm nilikuwa naziuza hizo huawei, xiaomi, oneplus, ukweli ni earphone za kiwango sana. Nitafute kwa WhatsApp 0759110633 maana soon nitaagiza
View attachment 1020209View attachment 1020210
Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Mkuu kwanza elewa most ya accessories zilizopo madukani hapa TZ nyingi ni fake ukikuta OG nyingi bei ghali, kwa upande wangu huwa sileti bidhaa fake. Na kuhusu upande wa rangi zipo model mbili AM115 na AM116 ila zote ni quality sawa, kuna QR code ya kuhakiki ubora.Hakuna nyeupe tupu mkuu,mana nyingi zina sura ile ile ipe lakini ni za mchina (fake)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nyeupe hizi hapaHakuna nyeupe tupu mkuu,mana nyingi zina sura ile ile ipe lakini ni za mchina (fake)
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gan bosKama nyeupe hizi hapaView attachment 1020393View attachment 1020394
Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Elfu kumi na tano. Ila zinafika mwisho wa mwezi, ukitaka zipo za Xiaomi Piston na OnePlus Bullets.
Naweza kuona picha zakeElfu kumi na tano. Ila zinafika mwisho wa mwezi, ukitaka zipo za Xiaomi Piston na OnePlus Bullets.
Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Mzeee asante sanaaaa tyr