Wauza smartphone tukutane hapa

Shukran sana mkuu kwa angalizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung A6+ 2018 duos full boxed.
Dua Rear camera : 16MP + 5MP,
Front camera : 24MP,
ina two weeks, charge kwa matumizi ya kawaida DATA ON(4G) 48hrs+, heavy use 16Hrs,
Kwa ufupi hata uwe una stream kiasi gani huwezi maliza charge ndani ya 12Hrs,

Nahitaji ku upgraded to S9+ duos + top up, kwaio mwenye S9+ duos aje tuvunje au unipe 650k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190203-WA0016.jpeg
    33.7 KB · Views: 42
  • IMG-20190203-WA0001.jpeg
    29.1 KB · Views: 32
Huawei p10 64gb inauzwa... Ina cracks upande wa juu na upande wa chini, ila hapa katikati ipo clean. Simu ipo vizuri. Pia huawei hii inapokea update ya Pie. Njoo PM na offer yako... Only waliokuwa interested...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza simu yangu ya iphone6 ina mwezi na nusu...

GB 16, utapata charger, earphones.

Ina screen protector ya 5D plus free cover bure...

Bei 400000 Haipungui.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…