Wauza smartphone tukutane hapa

Tufanye biashara 250k
f5d87558fa987b3091f9352d6320494d.jpg
5b120c0a5cf5245801a07a84c033ec43.jpg
2d3f38bf15f9ab7c352eef03909c41b1.jpg
9233ffc02551887c4f73b5639d098d37.jpg
6f44e320d681f7e4774341dd19eb4a13.jpg
d2627424bb5a7a4754beedebc8c8b0b1.jpg
0756df11af401db996a817b9075eda25.jpg
b10b1955b3295839369f442a92d1ec23.jpg
 
Pata tecno phantom six kwa sh 430000 ina miezi miwili kasoro toka dukani ina warranty card yake nimepata shida ya haraka ndo mana naiuza atayekuwa interested anitafute kwa 0766713723

Boss bei kali hiyo unapata note 4 kali mkuu kama uko serious shusha bei utauza ni ushauri tu samahani
 
STREET WINNER MOBILE & COMPUTER SOLUTION
Habari wakuu Kwa mahitaji ya huduma zifuatazo msisite kututafuta:-
Mahitaji ya Kuunlock network lock(Kama Una kifaa chako cha mtandao na kinatumia line ya mtandao mmoja au kimefungwa na mitandao ya nje ya nchi Kama vile T-mobile,sprint,AT&T na n.k basi suluhisho lako ndio sisi)
kwa mahitaji ya network unlock code(Kwa Simu,modem & router za promosheni au nje ya nchi zinazodai network unlock code usisite kutuona)
Tunaondoa Factory restore protection lock(Kwa wale wadau wenye Simu zao ambazo Kwa bahati Mbaya wamerestore na kusahau google account zao na inapowaka inahitaji kuwa connected na wireless ondoeni Shaka suluhisho lipo)
Tunatoa huduma ya data recovery(Kwa wale ambao Kwa bahati mbaya wamefuta taarifa zao Kwenye computer,Simu,flash disk,memory cards na n.k na wanahitaji kurejesha taarifa zao huduma hiyo inapatikana kwetu)
Tunarekebisha matatizo mbalimbali ya Simu upande wa softwares(Kwa wale ambao Simu zao zimezimika,shambuliwa na virus,zinaishia Kwenye logo,zinaleta SMS za unfortunately has stopped,kujiwasha data na kujidownload apps na n.k)
Tunarekebisha matatizo mbalimbali ya computer hardware na softwares(kufanya installation za softwares mbalimbali,kufanya installation ya operating system,kufanya installation ya drivers na n.k)
Jipatie vifaa mbalimbali vya computer(Tunauza Ram,hard drives,display,batteries,laptops chargers,DVD roms na n.k)

NB:- Huduma zinafanyika ofisini na Kwenye mtandao mahali Popote unaweza kuhudumiwa Ila baadhi ya huduma zinahitaji uwe na chanzo cha mtandao,computer na USB cables.
ANGALIZO: HATUFUNGUI SIMU ZILIZOZIMWA NA MAMLAKA YA MAWASILIANO(TCRA) NA WALA KUBADILISHA IMEI NAMBA TAFADHALI USITUTAFUTE KWA HIZO HUDUMA..
Mawasiliano 0712842283(Simu,SMS,Whatsapp)
instagram:Streetwinnercomputers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom