Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

aliyepo dar naomba kujua bei ya tecno c7 na bei ya tecno w5 kwa bei za dar maana hapa dom bei ni tecno c7 250000 na tecno w 4
 
OFA OFA YA J2 MPYAAA.
Samsung J"2" Mpyaa

Tsh 289,500
Kamera ya mbele 2.2MP
Kamera ya nyuma 5MP
8GB memory kioo 4.7 inches.
0715531232textwasap
 
Attachments

  • 1479896903288.jpg
    1479896903288.jpg
    35.8 KB · Views: 46
Jaman mi nahitaj iphone 6 plus space gray, ambayo iko clean kwa kila kitu haina mikwaluzo, speaker, touch screen, system charger, vyote viwepo na viwe og kabsa Anichek kwa no. 0717211176 tufanye biashara......
 
Wadau kat ya Samsung note 1 ,,Samsung j2,,na tecno boomj8 ipi bora
 
Wadau kat ya Samsung note 1 ,,Samsung j2,,na tecno boomj8 ipi bora
Ndugu jaribu kusikiliza moyo wako na macho yako ...watuami wa tecno watakwambia tumia tecno ..na watumiaji wa samsung watakwambia tumia samsung..ila kwenye ubora nadhan unajua
 
Ndugu jaribu kusikiliza moyo wako na macho yako ...watuami wa tecno watakwambia tumia tecno ..na watumiaji wa samsung watakwambia tumia samsung..ila kwenye ubora nadhan unajua
Mkuu niweke tu wazi kupi ni bora zaidi,,,
 
Back
Top Bottom