KICHEKOMASIHARA
Member
- Oct 5, 2019
- 36
- 33
Wapi naweza kupata hii simu NOKIA na ni bei gani
Popote ulipopata hio simu,Wapi naweza kupata hii simu NOKIA na ni bei ganiView attachment 1225337
Popote ulipopata hio simu,
Origina seller ni mimi na ni Nokia N86 niliiuza kwa 150 kwa mwarabu flan maeneo ya ilala..
Ukiweza hio bei na ukinithibitishia utachukua nakutaftia fasta sanaa hela utanipa nikikukabdh mzigoo.
Picha zake nyingne hizi hapa
Na Pia kwa sasa nina
Nokia E63 = 90k
Asha 302 = 90k
C1 = 40k
View attachment 1302660View attachment 1302661View attachment 1302662
Nimetishia na nini mkuuu?Mkuu acha kutishia hizo simu za kizamani zipo nyingi tu pale club ya simba msimbaz yupo muhindi anaduka pale zimejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetishia na nini mkuuu?
Napafahamu vizuri tuuu tena zipo sehem mbili..
Mkuu Nenda pale Kaulizie hio simu au hata hizo e63 & asha 302 km utapata kwa elf 90...
Mkuuu naaapa hapa....
Ukiipa tio simu pale kwa chini ya 150 uje na ushahidi hapa jf..
Ndio utakua mwisho wangu mm kuingia humu na hela nakupa.
Hapana boss kwa bei hio utaniuaaMkuu nahitaji hiyo Nokia Asha kuna 50k mfuko wa shati dili kesho asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana boss kwa bei hio utaniuaa
hapo ni top boss..
Na nipo Mkoa sikukuu
Nenda k.koo
Nenda k.koo
Ukishuka Kituo cha msimbazi B upande wa kulia pita na corrido ile ile ambapo kulia kwako ndio kuna maduka angalia kwa makini utaona maduka mawili ya wahindi wanaziuzaa....
Km hilo moja ambapo ndio zipo nyingi zinaonekana kbsa hata ukiwa unapita kwa njee..
Utamkuta mhind flan hv na mbongo....
ukweli ni kwamba bei zao zipo juu sana, ni mara mbili ya hio yanguu...
Ila mm nataka uende ili ukathibitishe hilo, nenda kesho ulete mrejesho hapa boss
Mm narudi ter 28
Km unatokea gerezani upande wa kushoto,