Wakuu hawa wauza pumba ni kama wanafanya utapeli kwetu wafugaji!!! Yaani pumba unaenda kununua unakuta hazina hata chenga chenga! Ni mavumbi tu yasiyo na kitu! Na wengi hawajashtukia ili suala! Sijui Huwa wanazipeta kutoa chenga waziuze pekee....
Bongo Kila kitu usanii tu! Serikali ya kisanii, wananchi wasanii.