kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
IFAHAMU VYEMA HOTEL ILIYOKUWA INAUZA NYAMA ZA WATU ILIYOBOMOLEWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
HAPA WANANCHI WAKIIVUNJA HOTELI HIYOPolisi walifanikiwa kuvikamata vichwa hivyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu na hoteli hiyo ambapo mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia walikamata bunduki mbili aina ya AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na simu nyingi.
Watu saba wanashikiliwa na jeshi lapolisi nchini Nigeria katika hoteli moja iliyopo karibu na soko moja maarufu sana nchini humo linalofahamika kwa jina la Ose-Okwodu katika mji wa Anambrabaada ya kukamatwa kwa vichwa viwili vya binadamu vikiwa bado vibichi lakini jina la hoteli hiyo linahifadhiwakutokana na sababu za kiusalama
hotel human heads in onitsha
MOJA YA NYAMA (MINOFU) ZA NYAMA YA BINADAMU ZILIZOKUTWA KATIKA HOTELI HIYO
kila wakati nimekuwa nakuja hapasokoni na kufanya biashara zangu katika hoteli hii kwasababu ipo karibu sana na soko.lakini nilikuja kugundua mambo ambayo sio ya kawaida ikiwemo watu wakiingia na kutoka katika hoteli hii,chakushangaza zaidi ni kutokanana watu hao kuwa ni wachafu sana wakati mwingine wakiwa wamechafuka damu,kwahiyo sikushangaa sana kusikia polisi wamegundua unyama huo jana asubuhialisema jamaa mmoja muuza mboga mboga katika eneo hilo
NIGERIA