Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

"NJOO WHATSAPP" na sisi tunakwambia njoo Jamiiforum. hipo hivi kama unaweza mkujibi kila mtu huko whatsapp huku jibu moja unawajibu maelfu.

Fanya hivi
wauzaji wa mitumba Grade A kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama,
Nguo za watoto Grade A (WAKIKE WA KIUME BEI...........?
Nguo za kiume( mashati ya kiume...............?
Nguo za kiume Jeans bei .......................?
Nguo za kiume suruali za kawaida kitambaa bei.........?
Nguo za Kike Blauzi and Top bei...........?
Nguo za kike Magauni .........?
Ngou za kike Sketi, bwanga na Pajama bei.....?
Nguo za kiume Tshirt bei......?
kama una nguo za ndani wanume au wanamwe bei ...?
Mokaba ya wanawake bei......?

Taja na nchi zinapotoka pia. Grade A za china ni tofauti na Grade A za EUROPE AU AMERIKA YA TRUMP
Miezi minne sasa jibu hamna!!!
 
Ni wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana (Kwa walio serious tu, km hauko serious waachie kwenye nia)
nahtaji xana napatkana mwanza
 
"NJOO WHATSAPP" na sisi tunakwambia njoo Jamiiforum. hipo hivi kama unaweza mkujibi kila mtu huko whatsapp huku jibu moja unawajibu maelfu.

Fanya hivi
wauzaji wa mitumba Grade A kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama,
Nguo za watoto Grade A (WAKIKE WA KIUME BEI...........?
Nguo za kiume( mashati ya kiume...............?
Nguo za kiume Jeans bei .......................?
Nguo za kiume suruali za kawaida kitambaa bei.........?
Nguo za Kike Blauzi and Top bei...........?
Nguo za kike Magauni .........?
Ngou za kike Sketi, bwanga na Pajama bei.....?
Nguo za kiume Tshirt bei......?
kama una nguo za ndani wanume au wanamwe bei ...?
Mokaba ya wanawake bei......?

Taja na nchi zinapotoka pia. Grade A za china ni tofauti na Grade A za EUROPE AU AMERIKA YA TRUMP
Ndio alikimbia mazima?
 
Back
Top Bottom