Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,089
Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Wengine hatupo huko watsapp usitulazimishe kuja huko,hivi unashindwaje kujibu kila kitu hapa kwa uwazi kama biashara ni yako kweli?? Eti tutajaza uzi.. hivi unafahamu ukubwa wa server za Jf mpaka udhanie tutazijaza kwa hiki ki uzi chako kilichokosa hata picha?