Wauza laptop tukutane hapa

Unauzaje, na ziko wapi? Mpya au used?
Ni used naziuza kwa laki moja unusu tu...ukihitaji nyingi bei inapungua
NB//:zipo kwenye hali nzuri tu kama mpya na betri zake ni mpya kabisa.
Napatikana Dar es Salaam na kwa wale wa mikoani natuma kwa njia utayoipendekeza wewe mteja.
 
Naweza tumia ktk tv set yangu?
 
Naweza tumia ktk tv set yangu?
Unaweza kama ina watts 700 kushuka chini kwa kuwa hizo UPS ni za uwezo huo tofauti na hapo utaitumia kama umeme upo tu.
Ichunguze TV yako kwanza mkuu.
 
Unaweza kama ina watts 700 kushuka chini kwa kuwa hizo UPS ni za uwezo huo tofauti na hapo utaitumia kama umeme upo tu.
Ichunguze TV yako kwanza mkuu.
Flat screen hazifiki hata watt 100.
 
Naweza kupata screen ya ndani ya mac book pro with retina dsiplay inch 13 , kwa nje hakuna scratch ila imetoa michirizi kwa ndani ya screen ya njano njano hivi.
 
Naweza kupata screen ya ndani ya mac book pro with retina dsiplay inch 13 , kwa nje hakuna scratch ila imetoa michirizi kwa ndani ya screen ya njano njano hivi.
Unapata mkuu kwa laki mbili tu pamoja na gharama za kufungu.
Karibu sana
 
Jaman mm natafta laptop yoyote ambayo n touch screen alaf iwe slim. Kama ipo chek me 0765024294
Jaman mm natafta laptop yoyote ambayo n touch screen alaf iwe slim. Kama ipo chek me 0765024294
Mi niko na Hp elitebook 2760p, touch screen, sim card kw net unatumia, webcam, 4g ram, i5, kioo kinarotet na unewez kuifany km tablet, betry iko poa, inch 13, hdd 320. Unatumia pen kwkutach ila pen yak imenipotea, bei 480,000 bt ninay mm na nik nje so natarajia kuituma tz 05.06.2017 itakuw imefik, km unaihitaj ni pm.
 
RAM 4GB
HDD 500G
imenunuliwa mwezi wa pili ni bado mpya kabisa.
bei 415,000/= (bei ya dukani 600,000)

Napatikana DSM

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…