QueenKong
Member
- Sep 20, 2018
- 28
- 6
NimekuPM mkuuyap but isizid 400000
NimekuPM mkuuyap but isizid 400000
Specification zake mwanza sehemu gani tufanye biasharaNauza toshiba nipo mwanza nicheki 0787384659
Mkuu nahitajiMkuu
Specification zake mwanza sehemu gani tufanye biashara
150k?Nauza laptop yangu niliyokuwa nafanyia tafiti juu ya kilimo na ujasiriamali baada ya zoezi kukamilikaili nipate fedha ya kugharamia vifaa vya tafiti inayofuata:
Ndani ya laptop hii kuna program zifuatazo:
1.one2two Lite, inayokuwezesha kujua bei za mazao kila siku kwa masoko yote ya Tanzania
2.Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia,Ufuta,Nyanya ,papai , jinsi ya kujenga nyumba kwa gharama nafuu,kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti na kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)
3.Ufugaji wa kuku asili na kuku wa kisasa
4.Ufugaji samaki kitaalamu na kibiashara
5.Mchanganuo wa biashara na memorandum and article of association.
6.Laptop hii ni Lenovo ThinkPad R61.Ni laptop imara,zenye kukaa na chaji zaidi ya masaa matatu,ina mlango wa DVD , adaptor, Wi-Fi (internet ya simu),
7.Imetumika nchini miezi miwili tu
Bei ni 250,000/- (Laki mbili na hamsini elfu tu)
Kwa mnunuzi piga:0713-039875
no150k?
hapana bossWrite your reply...ZAGANZA 190K TUMALIZE
Dell0718939972 mpyaa 200000 tu nipo dar View attachment 877201View attachment 877202View attachment 877203
nimetuma mkuu,karibuZAGAZA maelezo yako mengi yamenitoa nje ya lengo kuu japo inaonekana bidhaa yako ni nzuri. ume-overstate professional yako.
nitumie picha za pc nzima na taarifa ZA mashine yenyewe kama zinavyoonekana ukifungua MY COMPUTER. niko serious.
whatsap 0782302323.
PichaNauza Lenovo laptop
Location: Dar, Mbezi Beach
Specifications:
RAM: 4 GB
HDD: 500 GB
Processor: Intel Core i3
OS: Windows 10 Pro
Price: TZS 460k
Contact: 0654 168932
Mku bado unazo...??Wewe njoo nikuuzie
HP
CORE 2 duor 2.80ghz
4gb ram
750gb HDD
web camera
Bruetooth
Dvdrwter
Fire port
6hrs battery
Kwa TZS 280000/=
0777039477
Location MAKUMBUSHOView attachment 814766View attachment 814767