hivi wale wanaouza karanga za kupima za kwenye vikapu ambao huwa wanaweza hata kukuonjesha wakiwa wanaingia toilet kujisaidia pindi wakiwa mzigoni(barabarani) huwa wanamuachia nani bidhaa zao au huwa wanaingia nazo huko...?