Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
- Thread starter
-
- #21
Mashavu ka mimba ya panya ..... twendee.. twende....
meno ka mla nyama za watu.....
mikono mirefu ka mchimba kaburi... haya sasa....
Mwembamba kama sim card
Kichwa kikubwa utafikili diaba la maji.twendetwendeee.ila mi ilikuwa sipendi coz some yalikuwa ya kweli.
Enzi hzo cm card hazikuwepo. Tulkuwa 2natumia cm za mobitel lol!