Twende twende kichwa kikubwa ka nyenyere.Hii ndio Jf bana! mpaka rahaa...yaani kama gari la taka vile...
Twende twende kichwa ka pipi ya kifua.Mdomo mchafu ka dampo la gongo la mboto
mlio koment humu mna sura kama miguu ya bata kasoro mimi tu...
halafu sitaki mchezo mchezo nimeisia hapa mimi
Twende twende miguu kama ngongotiTwende twende sharubu ka Fabio LA chooni
Twende twende mashavu ka unapoliza moto.Twende twende pua kama pande LA sabuni
acha ichache kwani unakula wewe.? unakuwa unakihelehele kama mdomo wa bataTwende twende sura ukiangalia mboga inachacha...