Waungwana tusaidiane kwa hili juu ya JK !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waungwana tusaidiane kwa hili juu ya JK !!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 6, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  japo kwa sasa jk msafara wake wa angani unajumuisha helkopta 3 achilia mbali msafara wa nchi kavu unaotafuna kodi za walala hoi wa kitanzania,nimegundua kitu kimoja kwamba,kwa sasa hakuna mkutano wake wa kampeni ambao anao uwezo wa kutumia dakika kumi kusimama huku akiwahutubia wananchi,mbaya zaidi na nyie mchunguze pia watu wawili sijui ni wapambe au bodyguard lazima wasimame nyuma yake tena karibu sana na yeye,ushaidi wa yote hayo wa hivi karibuni ni mikutano yake ya singida,dodoma na hata jana pemba,ni kwamba hana vitu vya kuwaeleza watz?mbona wenzake wanatumia zaidi ya nusu saa kuongea na wananchi?mfano dr slaa pale iringa mjini,kulikoni waungwana kwa jk haswa kipindi hiki cha lala salama ambako kila mgombea anapaswa kukaza buti?
   
 2. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Sasa Urasa, una hoja gani!? Kwamba kwa Dakika 10 mtu hawezi akajieleza vya kutosha? Au kwa sababu kuna watu wawili wamesimama nyuma yake? Au unawashangaa wenzake kina Slaa wanatumia zaidi ya nusu saa? Unaona mada yako haijakaa sawa. MS atakushambulia, unajua atasemaje, JK ni hodari anatoa mada yake kwa lugha rahisi, kw muda mfupi halafu akianza kufananisha - haalafu atumie ile lugha yake utajikuta umejichukia bure!
   
 3. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  ....ni kweli you cannot justify that kwa kusema watu wamekaa nyuma yake....BUT YOU HAVE A POINT AMBAYO BILA KUPEKESHA MANENO NI KUWA JK ANAONEKANA ANA OCHOVU NA MSONGO MKUBWA WA MAWAZO KULIKO WAGOMBEA WENZAKE..uchahidi wa msongo wa mawazo ni macho na uso wake.....kwa wanaojuwa psychology ...wanaweza kusoma facial and eye expression ya JK.
  uchahidi wa uchovu upo kwenye verbal and voice ambayo its too fryl....yaani haongei kwa nuru na sauti ya kupasa kwa vikao vya nje......kama zamani....bali sasa hivi anaongea kama vile anaongea kwenye mazungumzo ya kawaida.....simply anaongea kinyonge japo si mnyonge kiuwezo....inaelekea ni mnyonge kimwili......NI DHAHIRI INABIDI AFUATE USHAURI WA MADAKTARI....au la daktari wake anaweza akajiuzulu....kwa sababu next time watanzania hawatanunua maneno kuwa anashauriwa anakaidi........
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Nikweli raisi wetu tusingependa yampate matatizo! madaktari tafadhali kuweni makini!
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Maeneo anayotakiwa kutembelea ni mengi ukilinganisha na muda uliobaki kufika siku ya mwisho wa kampeni ni mdogo
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hivi pale Ikulu pana nini?
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,735
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Utajiri wa haraka haraka kwa rais, ndugu zake, marafiki wake wa karibu na yeyote mwenye mahusiano yawe halali au yasiyo halali na ama rais au mke wake.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huitaji kuwa mganga kujua JK amechoka sauti yake tuu not powerful kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  Unaona kabisa kuwa anajilazimisha
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kuishiwa ahadi, nguvu na afya bora! hapo mweleka mwingine huko njiani!!
   
 10. J

  Jafar JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Anyway sioni hasa point iliyozama hapa labda huo uchovu ambao ni kawaida kwa kila binadamu hasa ukiwa katika mazingira kama hayo ya kuruka kila kukicha.

  Ila andikeni hii pahala pazuri ili siku ikifika mnikumbushe. Ukiongea maneno haya sema kwa sauti ya kunong'ona - "tutafanya uchaguzi mdogo wa raisi kabla ya 2015"
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hodari wa kuanguka au?
   
Loading...