Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 837
- 1,028
Unaumwa kiasi hicho afu bado hujaenda hospital?!?
Nipo mwanzaPole ndg uko mkoa gan ? Nenda hospital kubwa
Kipimo kwanza au gharama kwanza?kapimwe na CT scan
Duu kazi ipoInawezekana una jipu kweli nenda hospitali jipu linatokea hata tumboni mkuu pole sana.
Kiukweli mwanzo sikua serious ila kwa leoo naumia sana aiseeHakika utakufa, yaani unaumwa hivyo still bado hujaenda hospitali unaenda kwa nurse.
Hauko serious na maisha yako
Fanya kwenda hospitali mkuu, na pole sanaKiukweli mwanzo sikua serious ila kwa leoo naumia sana aisee
Mpe moyo mzee, hayupo mtu ambae hayupo serious na maisha yake. Mkazie aende hospitali, mgonjwa anahitaji faraja sio kumwambia hakika utakufaHakika utakufa, yaani unaumwa hivyo still bado hujaenda hospitali unaenda kwa nurse.
Hauko serious na maisha yako