Waungwana Nahisi kifo kinaninyemelea

Raj kapool

JF-Expert Member
Jun 29, 2018
748
807
Amani iwe nanyi wadau
kuna jambo linanitatiza ambalo limeanza kidogo kidogo sasa linakua
Ninekua nikiumwa homa za vipindi yaani kichwa kinauma then nakunywa dawa napona. Sasa hii imekua tofauti kuanzia may 1 kichwa kiliuma nikapuuzia sikunywa dawa, nilikaa ka siku tatu iv kichwa kinauna Ila najisena tu kwa kua napiga mishe zangu juani yawezekana kitapona chenyew cku ya 4 kikazidi nikanunua decroper misk za 1000 cjui kama jina nimelipatia
Nikanywa cku ya 5 kichwa kikaanza kuuma upande wa kushoto tuu yaan maumivu yapo nusu ya kichwa upande wa kushoto tuuu tena sio maumivu tuu yaani upande huo ukafa ganzi kwa mda na Mafua yalikua yananisumbua hapo
Sasa cku ya 6 naamka asubuhi tundu la pua LA upande huo wa kushoto lilianza kutoa vitu vichafu yaani kama usaha hivi afu unanuka balaaa cha ajabu ule uchafu unapitia na mdomoni nashibdwa kula jamani tangu siku hiyo mi ni wa kunywa maji na soda sili msosi wowote
Nikaenda kwa nesi mmoja nikamweleza kila kitu akajibu itakua unajipu sasa nawaza jipu gani la kukaa ndani ya kichwa wakuu mbona stake zipo sasa mi sinitakufa aisee.
Maumivu ni makali yaani upande wote unauma mpaka jicho afu uchafu ule unanuka sana kama yai bovu nimelila
Sipati hamu ya kula hata maji nakunywa kikombe kimoha mchana na jioni then nalalia soda
Kilichofanya nipost maelezo yote hayo kwenu nahitaji kujua kwa mwenye ufahamu huu ni ugonjwa gani? Garama zake ili nijiwahi kwa doctor aisaak maro maana sina hata 10000
Asanteni
 
tatizo laweza kuwa Rhinolith (google that)-foul smelling nose discharge,unahitaji kufanyiwa nasal endoscopy then hizo vitu zinanuka ziwekwe under microscope,au waweza pia kupiga CT scan,tatizo linaweza lisiwe life threatening kama unavyodhani
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom