Waungwana Nahisi kifo kinaninyemelea


Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,177
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,177 2,000
A rhinolith is a stone present in the nasal
cavity. The word is derived from the roots
rhino- and -lith, literally meaning "nose
stone". It is an uncommon medical
phenomenon, not to be confused with
dried nasal mucus. A rhinolith usually
forms around the nucleus of a small
exogenous foreign body, blood clot or
secretion by slow deposition of calcium
and magnesium salts. Over a period of
time, they grow into large irregular
masses that fill the nasal cavity. They may
cause pressure necrosis of the nasal
septum or lateral wall of nose. Rhinoliths
can cause nasal obstruction, epistaxis,
headache, sinusitis and epiphora. They
can be diagnosed from the history with
unilateral foul smelling blood stained
nasal discharge or by anterior rhinoscopy.
On probing probe can be passed around
all its corners. In both CT and MRI rhinolith
will appear like a radiopaque irregular
material. Small rhinoliths can be removed
by foreign body hook. Whereas large
rhinoliths can be removed either by
crushing with luc's forceps or by Moore's
lateral rhinotomy approach.[1][2]
Signs and symptoms
Rhinoliths present as unilateral nasal
obstruction. Foul-smelling, blood-stained
discharge is often present. Epistaxis and
pain may occur due to the ulceration of
surrounding mucosa.
Management
They are removed under general
anaesthesia. Most can be removed
through anterior nares. Large ones need
to be broken into pieces before removal.
Some particularly hard and irregular ones
may require lateral rhinotomy.
 
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,239
Points
2,000
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,239 2,000
Pole sana... Je ulishawahi kujigonga Kichwani? Kupigwa na kitu kizito? Nenda Hospital... Tena Bugando uwaeleze Shida yako... CT Scan inahusika hapo.
 
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,773
Points
2,000
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,773 2,000
Cjawah kujigonga ntaenda
Wee kiazi..Yaani huo muda unaopoteza kuweka bando na kujibu post hizi ungekua ushafika hospital na ushapewa huduma ya kwanza... we unatoka usaha kwenye sensitive parts of your body na bado unakaa kwenye kigoda unachati?? Ujinga gani huo?
 
leipzig

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
2,667
Points
2,000
leipzig

leipzig

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
2,667 2,000
Yaani wewe unaonyesha unajua unachoumwa na ndio maana umekata tamaa, yaani unaumwa hivyo na hujaenda hospitali!hii ni ajabu ya mwaka.
 
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Messages
1,525
Points
2,000
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2011
1,525 2,000
Yaani wewe unaonyesha unajua unachoumwa na ndio maana umekata tamaa, yaani unaumwa hivyo na hujaenda hospitali!hii ni ajabu ya mwaka.
Inawezekana na uchumi wake ni mdogo, Mtu ukiwa na pesa unapopata Dharula ndogo tu unakimbilia hospigal na ndo maana matajiri hawafi hovyo
 
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Messages
502
Points
500
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2018
502 500
tatizo laweza kuwa Rhinolith (google that)-foul smelling nose discharge,unahitaji kufanyiwa nasal endoscopy then hizo vitu zinanuka ziwekwe under microscope,au waweza pia kupiga CT scan,tatizo linaweza lisiwe life threatening kama unavyodhani
Nime search you tube yawezekana no huo huo
 
agreyfaza

agreyfaza

Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
51
Points
125
agreyfaza

agreyfaza

Member
Joined Apr 4, 2019
51 125
Pole sana mkuu chukua hatua mapema yakuwai kuchunguza unaumwa nn uhai ndo kila kitu usiwaze gharama jaribu hata kwa watu uliokaribu nao wakushike mkono ukafanye vipimo
 
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
1,455
Points
2,000
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
1,455 2,000
Pole. Sasa umechat na umepta faraja na maelekezo. Uende hospitali. Kama utaendelea kuchat baada ya ushauri uliopewa hata tu ku like au kujibu post hii ni MJINGA. Period.
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,891
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,891 2,000
Amani iwe nanyi wadau
kuna jambo linanitatiza ambalo limeanza kidogo kidogo sasa linakua
Ninekua nikiumwa homa za vipindi yaani kichwa kinauma then nakunywa dawa napona. Sasa hii imekua tofauti kuanzia may 1 kichwa kiliuma nikapuuzia sikunywa dawa, nilikaa ka siku tatu iv kichwa kinauna Ila najisena tu kwa kua napiga mishe zangu juani yawezekana kitapona chenyew cku ya 4 kikazidi nikanunua decroper misk za 1000 cjui kama jina nimelipatia
Nikanywa cku ya 5 kichwa kikaanza kuuma upande wa kushoto tuu yaan maumivu yapo nusu ya kichwa upande wa kushoto tuuu tena sio maumivu tuu yaani upande huo ukafa ganzi kwa mda na Mafua yalikua yananisumbua hapo
Sasa cku ya 6 naamka asubuhi tundu la pua LA upande huo wa kushoto lilianza kutoa vitu vichafu yaani kama usaha hivi afu unanuka balaaa cha ajabu ule uchafu unapitia na mdomoni nashibdwa kula jamani tangu siku hiyo mi ni wa kunywa maji na soda sili msosi wowote
Nikaenda kwa nesi mmoja nikamweleza kila kitu akajibu itakua unajipu sasa nawaza jipu gani la kukaa ndani ya kichwa wakuu mbona stake zipo sasa mi sinitakufa aisee.
Maumivu ni makali yaani upande wote unauma mpaka jicho afu uchafu ule unanuka sana kama yai bovu nimelila
Sipati hamu ya kula hata maji nakunywa kikombe kimoha mchana na jioni then nalalia soda
Kilichofanya nipost maelezo yote hayo kwenu nahitaji kujua kwa mwenye ufahamu huu ni ugonjwa gani? Garama zake ili nijiwahi kwa doctor aisaak maro maana sina hata 10000
Asanteni
Wahi hospitali tu mkuu hufi utapona
 
maukijunior

maukijunior

Senior Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
136
Points
250
maukijunior

maukijunior

Senior Member
Joined Oct 22, 2017
136 250
Mkuu we hauumwi,,, Kama unaumwa kwel nenda hospital acha drama,,,
 
Kambaku

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
2,261
Points
2,000
Kambaku

Kambaku

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
2,261 2,000
Huyu jamaa shida yake aombe hela Tu mwishowe
 
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Messages
502
Points
500
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2018
502 500
Huyu jamaa shida yake aombe hela Tu mwishowe
We huna akili,,, hela za kuombwa na Mimi utazitoa wapi?
Broo mjini kuna taasisi kibao zinatoa misaada kwa wagonjwa na walemavu kama yakinishinda naweza kwenda huko na si mtandaoni hasa kwa bogazi kama ww
 

Forum statistics

Threads 1,294,041
Members 497,789
Posts 31,163,268
Top