Waungwana Nahisi kifo kinaninyemelea


Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Messages
502
Points
500
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2018
502 500
Amani iwe nanyi wadau
kuna jambo linanitatiza ambalo limeanza kidogo kidogo sasa linakua
Ninekua nikiumwa homa za vipindi yaani kichwa kinauma then nakunywa dawa napona. Sasa hii imekua tofauti kuanzia may 1 kichwa kiliuma nikapuuzia sikunywa dawa, nilikaa ka siku tatu iv kichwa kinauna Ila najisena tu kwa kua napiga mishe zangu juani yawezekana kitapona chenyew cku ya 4 kikazidi nikanunua decroper misk za 1000 cjui kama jina nimelipatia
Nikanywa cku ya 5 kichwa kikaanza kuuma upande wa kushoto tuu yaan maumivu yapo nusu ya kichwa upande wa kushoto tuuu tena sio maumivu tuu yaani upande huo ukafa ganzi kwa mda na Mafua yalikua yananisumbua hapo
Sasa cku ya 6 naamka asubuhi tundu la pua LA upande huo wa kushoto lilianza kutoa vitu vichafu yaani kama usaha hivi afu unanuka balaaa cha ajabu ule uchafu unapitia na mdomoni nashibdwa kula jamani tangu siku hiyo mi ni wa kunywa maji na soda sili msosi wowote
Nikaenda kwa nesi mmoja nikamweleza kila kitu akajibu itakua unajipu sasa nawaza jipu gani la kukaa ndani ya kichwa wakuu mbona stake zipo sasa mi sinitakufa aisee.
Maumivu ni makali yaani upande wote unauma mpaka jicho afu uchafu ule unanuka sana kama yai bovu nimelila
Sipati hamu ya kula hata maji nakunywa kikombe kimoha mchana na jioni then nalalia soda
Kilichofanya nipost maelezo yote hayo kwenu nahitaji kujua kwa mwenye ufahamu huu ni ugonjwa gani? Garama zake ili nijiwahi kwa doctor aisaak maro maana sina hata 10000
Asanteni
 
Waterloo

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
16,216
Points
2,000
Waterloo

Waterloo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
16,216 2,000
Inawezekana una jipu kweli nenda hospitali jipu linatokea hata tumboni mkuu pole sana.
 
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Messages
502
Points
500
Raj kapool

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2018
502 500
Hakika utakufa, yaani unaumwa hivyo still bado hujaenda hospitali unaenda kwa nurse.

Hauko serious na maisha yako
Kiukweli mwanzo sikua serious ila kwa leoo naumia sana aisee
 
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Messages
1,525
Points
2,000
Secret Star

Secret Star

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2011
1,525 2,000
Hakika utakufa, yaani unaumwa hivyo still bado hujaenda hospitali unaenda kwa nurse.

Hauko serious na maisha yako
Mpe moyo mzee, hayupo mtu ambae hayupo serious na maisha yake. Mkazie aende hospitali, mgonjwa anahitaji faraja sio kumwambia hakika utakufa
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,177
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,177 2,000
tatizo laweza kuwa Rhinolith (google that)-foul smelling nose discharge,unahitaji kufanyiwa nasal endoscopy then hizo vitu zinanuka ziwekwe under microscope,au waweza pia kupiga CT scan,tatizo linaweza lisiwe life threatening kama unavyodhani
 

Forum statistics

Threads 1,294,033
Members 497,789
Posts 31,162,957
Top