AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Mpo hapo?? hii nami nimeiona, ni hatari sanaHatimae baada ya kuibuka vuguvugu la kuupinga muungano visiwani zanzibar na kupelekea hali ya vurugu, wakazi wenye asili ya unguja wamepitisha vikaratasi kwenye makazi ya raia wenye asili ya pemba waliwataka waondoke mara moja maana hawana shukrani.
My take:
je maneno ya mwalimu yanatimia?
SOURCE: WAPO RADIO FM- KIPINDI YALIYOTOKEA SAA MOJA JIONI.
:violin::ranger:
hahahahahhah.....hivo vipeperushi vya wazanzibar......mshkaji.....watu zaidi ya laki tano wameshasaini petition ya kuukataa muungano kwa taarifa yako...na wapemba woteeee ni laki 3 tu...na huko pemba hali ni shwariiiikama maji ya mtunginihatimae baada ya kuibuka vuguvugu la kuupinga muungano visiwani zanzibar na kupelekea hali ya vurugu, wakazi wenye asili ya unguja wamepitisha vikaratasi kwenye makazi ya raia wenye asili ya pemba waliwataka waondoke mara moja maana hawana shukrani.my take:je maneno ya mwalimu yanatimia?source: Wapo radio fm- kipindi yaliyotokea saa moja jioni.:violin::ranger:
Mwalimu alishawahi kunena
kwamba wakiamua kujitenga, dhambi ya ubaguzi haitawaacha salama.
Wanavuka uzanzibari na uzanzibara, sasa wanabaguana kwa huyu ni Muunguja
na huyu ni Mpemba. Tunawaombea salama.
Hawa wazanzibar wasijisumbue maana ss huku bara hatuwezi kuwaachia hako kanchi kwani kana utajiri wa gas na mafuta, ha ha ha..........
Wabara so mchezo...............
wanakata kuti walilokaliahakuna utajiri wowote zaidi ya utalii ambao sasa mnawakimbiza. Gas ziko lindi, mtwara na majini mpakani mwa mozambique kampuni zote ziko mtwara sio zanzibar. Utalii mtaumaliza na fujo zenu hizo
Dhambi ya ubaguzi itawatafuna!!
Hawa wazanzibar wasijisumbue maana ss huku bara hatuwezi kuwaachia hako kanchi kwani kana utajiri wa gas na mafuta, ha ha ha..........
Wabara so mchezo...............
Mpo hapo?? hii nami nimeiona, ni hatari sana
Waunguja na Wapemba wote wake wenza wanamjua mume wao ni Marehemu MWALIMU KUTOKA BUTIHAMA, SASA WAMEACHIWA BWANA ****** HAWAMATKI. NGOJA TUONE MWISHO WA TALAKA WANAZODAI.