Waunguja wawabagua Wapemba

Hawa jamaa akili zao fupi kama suruali zao
 
Na hii ndio namna viserikali vyetu vinavyo-deal na masuala makubwa ya maslahi ya umma!!!

Hii kweli ni nchi ya kusadikika
 
Nina wasiwasi na huu waraka kama kweli umeandikwa na watu wa Unguja! Huenda ukawa ni muendelezo wa kilicho nyuma ya pazia. Nawakilisha!
 
Ningependa tuwe na serikali moja,
Zanzibar iwe Mkoa tu.
 
Dhambi ya kuchoma makanisa haitawaacha salama! Laana itawaandama popote mlipo.
 
WATANZANIA TUWAAMBIE KIKUNDI HIKI CHA KI-GAIDI KIITWACHO 'UAMSHO' HUKO VISIWANI KWAMBA 'TANZANIA IKO HAPA DUMU DAIMA'

1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikupatikana mitaani hivyo kamwe haiwezi kuvunjwa kwa Mihadhara ya Mitaa ya Alabama huko Visiwani.

2. Ndoa kati ya Tanganyika na Zanzibar, historia inavyotueleza, kamwe haikufungwa katika MADHABAHU YA KIDINI hivyo si sahihi kwa Askofu yeyote, Sheikh wala Imam mwenye akili timamu kujitokeza kukimbilia kwenda kuiidhinishia TALAKA TOKOMEA kama ambavyo Viongozi wa dini fulani ndani ya kikundi haramu kinachojiita Wana-UAMSHO wanavyotaka kutuaminisha leo.

3. Kwa mtaji wa somo tunalolipata hivi sasa kutoka Tanzania Visiwani ni dhahiri kwamba BUNGE LETU LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA lifanye makusudi KUFUMUA SHERIA YA KATIBA MPYA ili kushughulikia kwa haraka na dharura ya aina yake KUTAZAMA UPYA mambo yafuatayo kwa kuzingatia maoni ya Mzee Mtei:

a. Upatikanaji wa watu wanaounda BUNGE LA KATIBA huko mbele ya safari (Bila hivo, kuna fuja tena kubwa ajabu huku Bara inatusubiri kabla ya 2015)

b. Akina nani wanaoketi katika Tume ya Katiba (Bila hivyo kuna dalili zote kwamba CONTENTIOUS ISSUES zitafanya Katiba Mpya itupiliwe mbali baada ya kutugharimu fedha nyingi)

c. Sheria hiyo ifumuliwe upya kuruhusu Muungano kujadiliwa tena kwaa kina LAKINI bila ya kuwemo kipengele chochote cha kuruhusu wazo la KUVUNJA MUUNGANO.
 

Hapa unamaanisha wapemba ndio wabaguzi!?
 

Pia taadhari kwa waislamu kwamba mtu mpole na mkimya mwogopeni sana maana hamjui alifikiriapo akilini mwake maana pale uvumilivu utakapomshinda mtajuta kwa uchokozi wenu!
 
Wapemba watarudije kwao Pemba,Wakati raisi wa ZNZ Shein ni Mpemba,makamu wake Maalimu Seif vile vile ni Mpemba,na hao Woote mliwachagua kwa kula nyingi, sasa mbona mnanichanganya jamani!!!!Ninawasiwasi na hicho kipeperushi

Hizi ndizo dalili mbaya za ubaguzi na mweshowe watakataana na vizazi vyao nyerere aliwaonya hili mapema sana na hamtaki kuufuata wosia wake mwishowe mtapotea na kusambaratika kabisa
 
kuitafuta haki kuna gharama zake ndugu zangu, yatasemwa mengi sana ya uzushi ili kudhoofisha nguvu. waswahili husema ''UKITAKA KUONEKANA MBAYA DAI CHAKO''

Unataka kusema wapemba wamedai chao kwa kuchoma makanisa? Wameonekana wabaya kwavile njia waliyotumia ni sahihi?
 
wakati mnaendelea kubishani nini hatima ya muungano wenzenu wanazalisha mali. upimbi mbaya sana!
 
..kwa taarifa yako hata huku bara hatuutaki huo muungano, naona kama wazanzibar,wapemba mnachelewesha mchakato wenu wa kujitenga, ila kwa hatua yenu yoyote msiguse nyumba za ibada, rudini kwenu ili mjipange vzr.
 
Lakini kama hawataki Muungano mbona wemejenga huku? Mwisho wa siku hapa nchi zitakuwa tatu.
 
mara hii tushakuwa wenzao? Wapatane kwanza wao ndio waje kupatana nasi
 

Hapo kwenye blue (angalia wake za makamu wa raisi-Bilal utaona tofauti-mmoja ni mu-Unguja na mwingine ni Mpemba). Bilali yeye hataki ubaguzi :clap2:
 

hapo patamu... Hatuwezi kuwaachia kale kannchi kwani watachinjana pia tunataka yale mafuta na gas yao ili tukuze uchumi wetu wa bara.
WABARA OYEEEE...............!
 
Nakumbuka siku wana wa Israel waliposhida vita baada ya Mungu kuwachanganya maadui wa Israel wakauana wao kwa wao, na Israel ikamalizia kazi kidogo iliyokuwa imebaki
Mungu ni mwaminifu kwa watu wampendao, tunawaombea hawo wenzetu nao Mungu awajaalie wepesi zaidi wa kumjua na kumpenda hata adui yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…