Waumini wengine bwana

Waumini wengine bwana

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
12,411
Reaction score
23,257
Hv huyu amekuja ibadani kweli au amekuja kumshangaa mtumishi

attachment.php
 

Attachments

  • 1448305097710.jpg
    1448305097710.jpg
    107.4 KB · Views: 1,560
Wenzake wamefunga macho wanapokea mibaraka yeye ndo kwanza amekodoa macho

Nimemuona.

Lakini yeye anafarijika kwa anachokiona. Upako wa Bwana unakujia kupitia njia nyingi. Wengine unapitia masikio (wale waliofumba macho), sasa yeye pengine ni kiziwi inabidi aone - teh-teh-teh.
 
Wewe ulikuwa ibadani au ulikuwa unamshangaa huyo jamaa!?

Anyway;
Huenda jamaa ni bodyguard wa muumini mmojawapo hapo hivyo Yuko kikazi zaidi kuimarisha ulinzi.
 
Sishangai kwanini wanaume tu ndio wapo frontline kuombewa na mtumishi mrembo,
 
Huyu mtumishi anaitwa nani na anapatika wapi nikapate upako
 
Back
Top Bottom