Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,740
- 20,486
Msikilizwe mara ya ngapi? Tayari Jaji Warioba na wajumbe wake waliishapita huku na huku na wakawasikiliza, ndio maana akaleta majumuisho kwenye rasimu ya katiba. Ukumbuke kwamba Jaji Warioba hakuwa anaongea mambo ya upande mmoja jana, alikuwa anaongea ujumla wa mambo ya pande zote, kwa hiyo ndugu yangu ninyi wa serikali mbili mlishasikilizwa!... sisi tusiotaka Serikali 3 mtupe nafasi ya kutusikiliza kama tuliuvyowapa leo,..