Waumini wa Gwajima waweka kambi nje ya kituo cha Polisi, waanza kutumbuiza

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
3,176
7,127
Kwaya ya kanisa la ufufuo na uzima la askofu Gwajima wameweka kambi nnje ya kituo cha polisi kumsubili askofu wao Gwajima wengine wapo na mabegi sijui wamebeba nguo
23fb9fa4557a2173dde51fb11406b4aa.jpg
5ddde3004651e417174a9f68662c9d0d.jpg
 
Back
Top Bottom