habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,755
Anadai mume wa MTU ajua kuangalia na kutunza,Na hukumuuliza sababu za kusema hivyo?
Kwann nikimbilie hukoWewe hauja olewa bado?
Mkuu soma vizuri utaelewa jinsia yanguWewe jinsia gan kwanza?
Hao wanaume anaozungumzia ni wa huko huko CHAMWINO ndiyo wa kihivyo.usije uka generalize itakula kwakoHeshima kwenu mabibi na mabwana,
Kwanza kabisa amani iwe nanyi popote mlipo,
Siku ya J5 nalikuwa Chamwino, ktk pilika pilika zangu za hapa na pale nikakutana na Mwana mama mmoja hivi mpole kwa kumtizama lkn mambo yake mchina atasubiri
Alikaribisha vyema kweli kwa nyama ya mbuzi na kileo kidogo, basi ilikuwa shangwe tu, ktk story zote alinistajaabisha kunambia "Mwanangu wanaume ni wadudu, si wa kuwaonea huruma hata kidogo, hawafai kuwa makini na wadudu hawa"
Akaendelea, "Ukimpata mume wa MTU usimwache ni bidhaa adimu, achana na ambao hawajaoa ni Padua kichwa, mpango mzima ni waume za watu, kumbuka hili na uweke akilini" mwisho wa nukuu:
Aiseee wenye uzoefu na waume za watu hebu waje wathibitishe kauli ya mwana mama huyu mwenye umri 55 na zaidi,
Mume ya mutu yeyoteHao wanaume anaozungumzia ni wa huko huko CHAMWINO ndiyo wa kihivyo.usije uka generalize itakula kwako
Mimi ni mme wa mtu njoo nikuangalie, nikutunze pia nikunyaze!!!Anadai mume wa MTU ajua kuangalia na kutunza,
Anadai mume wa MTU ajua kuangalia na kutunza,
Yule mama anakuhitaji zaidiMimi ni mme wa mtu njoo nikuangalie, nikutunze pia nikunyaze!!!
Mkuu kusalitiana haijaanza Leo, ni asili ya binadam tangu enzi na enziOkay, if that's the case inakuwaje anamsaliti mkewe?
Mimi nataka nikurime wewe , acha kukwepesa kwepesa, turia nikurime.Yule mama anakuhitaji zaidi
Haya nirimeMimi nataka nikurime wewe , acha kukwepesa kwepesa, turia nikurime.
Una mume?Kazi bado IPO.