Shemeji humu ndani kuna watu wana hadi jinsia mbili...
Kongosho usisome hapa...
Nilichokupendea ni kuwakumbusha wenzako kuwa love ni zaidi ya material things...wake zenu wanataka maneno matamu...wanataka kusikilizwa...attention, and the like...
Tabu ya hawa wanafanya kwa kificho, inabidi ID hiyo hiyo itumike ili watu wakuelewe.
Afu mtoa mada, kama vile namfahamu unayemuongelea, kama ndiye umekwishaaa, akikuweka kwenye 18, hadi mkeo atajua.
Shemeji humu ndani kuna watu wana hadi jinsia mbili...
Kongosho usisome hapa...
Mimi ninachofurahia hii stori ni kwamba mdada mwenye shida ya ndoa huenda alimtafuta jamaa kwa ID yake common...
Lakini jamaa kaja jamvini kwa ID nyingine kupiga mkwara halafu kajikuta kaharibu kwa kutumia ID common...teh teh teh!!!
Hizi ID hizi...mweeeh!!!
He he he, kaharibu kwenye sherehe. Mutipo ID yataka moyo, ndo maana wengine tunabadili jinsia kwa ID hii hii
Kwa ninyi wanawake ni rahisi kuuvaa uanaume na kujifekisha...
Ila kwa sisi wanaume mi naona ni ngumu sana, ni kama najidhalilisha vile hata kama ni maigizo...:A S-eek:
Ni kweli, lakini kuna wanawake wana matatizo ya kisaikolojia nadhani, attention seeking syndome kutoka kwa waume zao.
Afu mtoa mada, kama vile namfahamu unayemuongelea, kama ndiye umekwishaaa, akikuweka kwenye 18, hadi mkeo atajua.
Before ya yote ulikuwa unakubali offer zake?
Mhhh nahisi mtu kujisifia
CT SCan Mchina hata kwa dawa mkuu!....wewe sema unataka ule huo mzigo sema ''kisebusebu'' chako tu na ''kujibaraguza''...
Dadangu Honey Faith, ilitokea mara moja kuwa mazungumzo yetu yaliambatana na lunch, tukajikuta tumelipia kwa kuchangia! Siku ingine, akanipa lift kwa gari yake, kwa kinguo alichovaa na kukaa ktk ile ct, ikanishtua kuwa kuna jambo! Baada ya hizo incidences 2, sikuwa tena kukubali lunch wala lift zake, though aliendelea kuniomba!
Mhhh nahisi mtu kujisifia