Waume kazi tunayo

Waume kazi tunayo

Mkuu Elizabeth kakuchanganya hadi umeamua kutumia ID nyingine...hatari sana

Mkuu Mashaxizo nashukuru sana!

Mkuu FANUEL, nashukuru sana, dunia imeshakuwa sio sehemu salama, hakuna wa kutulinda sisi na watoto wetu, tujilinde wenyewe!

Mkuu kawoli, njoo tu pm, hii kitu ni kweli, na wala sio cha wkt uliopita, ni cha wkt huu, na hapa ninareply post yako, keshanichek anataka aje ofisini kwangu, eti kunisalimia then arudi ofisini kwake!

Mkuu screentouch hapo ntakuwa nimekaribisha matatizo makubwa zaidi
 
mkuu endelea hivyo hivyo kumpotezea kwani mke wa mtu sumu...
 
Nimejiskia kushare hii kitu hope mmekutana nayo somewhere but naamini kuna amboa hawajakutana nayo hata, though siko kwenye ndoa but the thing has truth in it.

HOW TO MAKE A MAN HAPPY:
  1. Feed him
  2. Sleep with him
  3. Leave him with peace
  4. Dont check his phone (msgs)
  5. Dont bother him with his movements

So what's so hard about that? Hope all you ladies out there can do that to ur men

HOW TO MAKE A WOMAN HAPPY:
It is not too difficult but..... to make a woman happy, a man only needs to be:
  1. a friend
  2. a companion
  3. a lover
  4. a brother
  5. a father
  6. a master
  7. a chief
  8. an electrician
  9. a plumber
  10. a mechanic
  11. a carpenter
  12. a decorator
  13. a stylist
  14. a sexyologist
  15. a gynecologist
  16. a psychologist
  17. a pest exterminator
  18. a psychiatrist
  19. a healer
  20. a good listerner
  21. an organiser
  22. a good father
  23. very clean
  24. sympathetic
  25. athletic
  26. warm
  27. attentive
  28. gallant
  29. intelligent
  30. funny
  31. creative
  32. tender
  33. strong
  34. understanding
  35. tolerant
  36. prudent
  37. ambitoius
  38. capable
  39. courageous
  40. determined
  41. true
  42. dependable
  43. passionate

WITHOUT FORGETTING TO:
  1. give her compliments regularly
  2. go shopping with her
  3. be honest
  4. be very rich
  5. not stress her out
  6. not look at other girls

AND AT THE SAME TIME, YOU MUST ALSO:
  1. gives her lots of attention
  2. gives her lots of time, especially time for herself
  3. gives her lots of space, never worrying about where she goes

BUT MOST OF ALL IT IS VERY IMPORTANT:
  1. never forget birthdays
  2. anniversaries
  3. valentine

ISN'T LOVING A WOMAN EASY.....!!!!!
 
Body language yako kwa uliyosema inaweza Kuwa legevu, ndio maana Huyo dada/mama bado anaona % ya yeye kukupata,
Ukimuonyesha kweli una maanisha angakuwa ameshakununia zamani,

CHONA wa CHILONWA!

Tuliooa tuna kazi kubwa!

Ni hivi, kuna mdada mrembo na ana shule yake ya kutosha kichwani, mke wa mtu, ana kazi yake, kuna magumu anayapitia, nikawa ni miongoni mwa washauri wake (kwa yeye mwenyewe kuja kunitaka ushauri!)

Kutokana na yale magumu anayopitia na zile shauri zangu, kukatokea mawasiliano ya mimi na yeye ya mara kwa mara tofauti na mwanzoni, tukajenga mahusiano ya kawaida sana, mchanganyiko wa aina ya kaka-dada ama urafiki, ambao haukunitisha hata!

Sijui ikawaje, yale mazoea yamekuwa tabu! Sasa bidada analazimisha mahusiano ya kingono na mimi. Wala hakuwa na ugumu wa kuficha, alionyesha hisia na baadae akatamka kabisa. Nimeshindwa kuamini kinachontokea! Kiukweli sina interests nae, na kadri ninavozidisha kumkwepa ndio anazidi kuja! Simfahamu mumewe wala hamfahamu mke wangu! Nakiri kosa la kukubali kumsaidia ktk yale magumu yake, leo nayaona majaribu dunia - mke wa mtu! Hatua nilizochukuwa:
  1. Nimeshamtakia kuwa hatuwezi kuwa wapenzi! Nina ndoa yangu!
  2. Nimekata aina zote za mawasiliano (simpigii, sichat nae)!
  3. Sikubali offer yake yoyote ile!
  4. Nimemueleza hatari za jambo analolitaka, (ndio kwanza kasema sisi ni watu wazima)

Kwa wale tuliooa, nawasihi tuwe karibu na wake zetu, wawe ni zaidi ya marafiki zetu, zaidi ya ndugu, sina ushahidi lkn nahisi huyu bidada ana vitu vidogo vidogo mno, anavikosa kutoka kwa mwenza wake. Bado hakuna dalili ya kumuweka MBALI na mimi! Na ktk vitu nilivomsaidia hakuna hata kimoja interms of cash, ilikuwa ni ushauri tu!
Nipo ktk majuto huku nikitafuta dawa ya kujinasua!
 
duuuh... i do believe ni wachache wanaweza but ukiamua inawezekana kama ulivyofanya... same thing kwa women,, kuchepuka si dili sana kwa watu ambao tuna share nao ishu zetu.
big up kijana.
 
CHONA wa CHILONWA!

Tuliooa tuna kazi kubwa!

Ni hivi, kuna mdada mrembo na ana shule yake ya kutosha kichwani, mke wa mtu, ana kazi yake, kuna magumu anayapitia, nikawa ni miongoni mwa washauri wake (kwa yeye mwenyewe kuja kunitaka ushauri!)

Kutokana na yale magumu anayopitia na zile shauri zangu, kukatokea mawasiliano ya mimi na yeye ya mara kwa mara tofauti na mwanzoni, tukajenga mahusiano ya kawaida sana, mchanganyiko wa aina ya kaka-dada ama urafiki, ambao haukunitisha hata!

Sijui ikawaje, yale mazoea yamekuwa tabu! Sasa bidada analazimisha mahusiano ya kingono na mimi. Wala hakuwa na ugumu wa kuficha, alionyesha hisia na baadae akatamka kabisa. Nimeshindwa kuamini kinachontokea! Kiukweli sina interests nae, na kadri ninavozidisha kumkwepa ndio anazidi kuja! Simfahamu mumewe wala hamfahamu mke wangu! Nakiri kosa la kukubali kumsaidia ktk yale magumu yake, leo nayaona majaribu dunia - mke wa mtu! Hatua nilizochukuwa:
  1. Nimeshamtakia kuwa hatuwezi kuwa wapenzi! Nina ndoa yangu!
  2. Nimekata aina zote za mawasiliano (simpigii, sichat nae)!
  3. Sikubali offer yake yoyote ile!
  4. Nimemueleza hatari za jambo analolitaka, (ndio kwanza kasema sisi ni watu wazima)

Kwa wale tuliooa, nawasihi tuwe karibu na wake zetu, wawe ni zaidi ya marafiki zetu, zaidi ya ndugu, sina ushahidi lkn nahisi huyu bidada ana vitu vidogo vidogo mno, anavikosa kutoka kwa mwenza wake. Bado hakuna dalili ya kumuweka MBALI na mimi! Na ktk vitu nilivomsaidia hakuna hata kimoja interms of cash, ilikuwa ni ushauri tu!
Nipo ktk majuto huku nikitafuta dawa ya kujinasua!

Usikubali kuonja ,kaa mbali na shetani huyo anayakumendea
 
Nimetamani ungekuwa mme wangu....samahani kwa kukuongezea jaribu!!!
 
Huyo demu atakuwa havutiii, yaani awe amejaaliwaaa Halafu umwache?
 
Back
Top Bottom