pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,474
- 6,147
Baada ya mh.rais kutoa amri kwa mabalozi na serikali kujiepusha na wauzaji(vibarua) wa dawa za kulevya ughaibuni,yabidi sasa kutekeleza agizo.Hivyo hao watu bila kujali kama kuna ambao labda walibebeshwa zigo bila kujua kwa ushamba wao au njaa na tamaa zao,hamna budi kunyongwa mapema ili iwe fundisho kwa wengine.
Hii sasa ndio vita halisi ya kupinga biashara hiyo haramu,sio uogaoga na unafiki.
Nimkumbushe tu mh.rais kuwa kuna watu wengine wenye dhambi sawa au zaidi ya hiyo ya madawa ya kulevya,Wauaji wa ndugu zetu albino!!.Kwa kuwa mkuu wa mkoa,Makonda bado hajaingia "msituni",hali itaenda kuwa mbaya kama "vita haitahitimishwa"
Kabla akina Xi Jinping na wenzake hawajasign kuwanyonga watanzania,'dada na kaka zetu' kwa dhambi ambayo "haina msamaha",kwanini usianze wewe? Wapo wamehukumiwa kifo tayari ila bado wewe tu kutia signature.
Ebu waoneshe akina Jacob Zuma mfano ili nao wafanye shime kadiri ya maagizo yako