SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,765
Iwe ni wewe au isiwe lakina wapo watanzania wengi wenye akili zilizodumaa ambao pamoja na udhalimu wanaofanyiwa na CCM ,wako tayari kuichagua CCM iendeleze udhalimu. Na kusema kweli mtaji wa CCM kuendeza utawala wake ni utaahira wa wengi wa watz.Hu ushenzi tunaofanyiwa na ccm laiti ingekuwa nchi nyingine, viongozi wa CCM na serikali yake wangekuwa wanapigwa mawe na wananchi badala ya kupigiwa makofi na kushangiliwa.Ndiyo maana akitokea mtu wa kuwafungua macho anaitwa mchochezi.Tatizo la msingi la Tanzania ni ushabiki wa kisiasa wa kijinga mithili ya ushabiki wa soka. Watu wanaipenda CCM licha ya kuwa inawafukarisha kila uchao.