watz wenzangu wamenimaliza.. eti Dr. Slaa ni vuvuzela bungeni!!!

Iwe ni wewe au isiwe lakina wapo watanzania wengi wenye akili zilizodumaa ambao pamoja na udhalimu wanaofanyiwa na CCM ,wako tayari kuichagua CCM iendeleze udhalimu. Na kusema kweli mtaji wa CCM kuendeza utawala wake ni utaahira wa wengi wa watz.Hu ushenzi tunaofanyiwa na ccm laiti ingekuwa nchi nyingine, viongozi wa CCM na serikali yake wangekuwa wanapigwa mawe na wananchi badala ya kupigiwa makofi na kushangiliwa.Ndiyo maana akitokea mtu wa kuwafungua macho anaitwa mchochezi.Tatizo la msingi la Tanzania ni ushabiki wa kisiasa wa kijinga mithili ya ushabiki wa soka. Watu wanaipenda CCM licha ya kuwa inawafukarisha kila uchao.
 
Hii inanikumbusha hayati mwl Nyerere alivyowauliza waandishi wa Kenya kuwa "ukisikia mtu anasema mimi ni rafiki wa mama yako hivyo ni baba yako, jee utaandika?" hakupata jibu.
Hivyo sio kila unachokisikia vijiweni lazima ukilete hapa jamvini.
 
Hii story inaweza kuwa yakutungwa lakini pia inaweza kuwa niya kweli.... Kwa mtu anayepata nafasi ya kijichanganya na vijana au hata wazee kwenye vijiwe, daladala n.k kukutana na story kama hizi sijambo geni... hao tu wanaoitwa waandishi wa habari, pamoja na shule zao, wanavyo andika habari au kuchambua hoja/mada utatapika, sasa umma wa watanzania hasa wale bendera kufuata upo unategemea waseme nini?....wananchi wengi i wanaufahamu mdogo na mambo ya siasa ni za bongo...... Lakini pia hatuwezi sema huyu jamaa anayemuita Dr. Slaa vuvuzera kuwa hajui kitu, maana wapinzani nao mh....

angalau wewe unaonekana unafikiria kutoka kichwani... wengine.. mmmh!!....
 
nikawauliza hamjaridhishwa hata kazi ya Dr slaa bungeni?...... nikajibiwa kuwa kuwa slaa si vuvuzela tu, mbona hajamaliza ufisadi serkalini?....

Nadhani ni kweli - Dr Slaa (Padre) hawezi kumaliza ufisadi serikali - hawezi peke yake : kuna kinachohitajika zaidi ya kuongea Bungeni

Vuvuzela zinavyopulizwa hapa JEP na JSC zingeweza kuipatia Bafana ushindi, if at all Vuvuzela is worth doing that!
 
Kama wanafikiri jukumu la kumaliza ufisadi ni la Dr Slaa, basi wana matatizo makubwa. Hata hivyo, nimefedheheka sana Momose Cheyo naye alipowaita baadhi ya wabunge mavuvuzela alipokuwa akisifia juhudi zilizofanywa na serikali eti kuijenga Bariadi. Sijui specifically alikuwa anamlenga nani!
 
Wana JF,
Kazi ya Vuvuzela katika maana yake halisi ni kupeleka ujumbe. Kama kuitwa kwa Dr. Slaa kuna maana hiyo, sioni ubaya. Naomba nguvu ziongezeke ili ujumbe ufike mbali zaidi ili watu wengi zaidi kupitia vuvuzela waweze kuelewa nchi yao inavyoteketea. It is just a name anyway! Most important is the message, the means is just a vehicle and a vehicle cannot be more important than a person carried. So why waste time on non issues! Nashukuru kwa wale wanaomtetea Dr. Slaa, but I think the message is clear, sent and delivered.
 
Dr Slaa

Usichoke wala asiwepo yoyote wa kukukatisha Tamaa, Kilichopandwa ndani yako ni lazima kiote tu mvua itakaponyesha!
 
Wana JF,
Kazi ya Vuvuzela katika maana yake halisi ni kupeleka ujumbe. Kama kuitwa kwa Dr. Slaa kuna maana hiyo, sioni ubaya. Naomba nguvu ziongezeke ili ujumbe ufike mbali zaidi ili watu wengi zaidi kupitia vuvuzela waweze kuelewa nchi yao inavyoteketea. It is just a name anyway! Most important is the message, the means is just a vehicle and a vehicle cannot be more important than a person carried. So why waste time on non issues! Nashukuru kwa wale wanaomtetea Dr. Slaa, but I think the message is clear, sent and delivered.

tuko pamoja kiongozi... ndo sababu niliishiwa nguvu kuona masuala muhimu kama unayosimamia yakifunikwa kwa neno la msimu la vuvuzela.... naamini siku moja yataeleweka vyema...

Mungu akutie nguvu zaidi... na akuepushe na aina yoyoyte ya kukata tamaa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom