watz wenzangu wamenimaliza.. eti Dr. Slaa ni vuvuzela bungeni!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watz wenzangu wamenimaliza.. eti Dr. Slaa ni vuvuzela bungeni!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Akili Kichwani, Jun 21, 2010.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  juzi nilipanda gari moja na ndani yake kulikuwa na mjadala mkali sana kuhusu namna watz wasivyoridhika na utendaji wa serikali..... ulikuwa ni mjadala wa kuvuta sana tafakari kwani kulitolewa shuhuda za kusisimua jinsi wanachi wanavyoteseka na siasa zisizo na tija.....

  mwisho nilimwauliza wenzangu mle garini kuwa wanatarajia kuchagua timu gani kwenye uchaguzi mkuu...... nilpatwa na mshtuko waliponihakikishia kuwa "itabidi tuichague ccm tu" manake hawaoni mpinzani yoyote anayefaa kuwa rais na hata mbunge....

  nikawauliza hamjaridhishwa hata kazi ya Dr slaa bungeni?...... nikajibiwa kuwa kuwa slaa si vuvuzela tu, mbona hajamaliza ufisadi serkalini?....

  nikawauliza hao wanaopinga ufisadi watapataje ushindi kama wanaitwa mavuvuzela kwa jitihada zao za kuupinga na wasipoungwa mkon kwenye uchaguzi?... sikupata jibu la maana laini nilibaki mdomo wazi....

  kweli tuna safari ndefu watz!!!!!!
   
 2. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #2
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watanzania wanajua wanachokisema.Na kumwita Dr.Slaa Vuvuzela hizo ni changamoto za kisiasa na joto la uchaguzi.:smiling:
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Wewe ndiyo mwenye mawazo hayo na wala si ya watanzania kama ulivyojumusha. Mwenye akili kama za VUVUZELA ndiyo anaweza kusema kwamba michango ya kina Dr Slaa na wenzake haina maana yeyote katika kukikosoa chama tawala na serikali yake kiutendaji.
   
 4. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nice try -Mkereketwa!
   
 5. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  lazima huyo aliyesema Dr.Slaa ni Vuvuzela ni zao la Mafisadi
   
 6. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  VUVUZELA NI CCM walioimba na kuahidi maisha Bora kwa Kila mtz wimbo ambao hata chembe ahujatekelezeka.Ilikuwa vuvuzela tu ya kupata kura
   
 7. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #7
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vuvuzela ni chombo kinachoamsha hisia na kushabikia..so hili linamgusa moja kwa moja Dr.Slaa bungeni.:dance::dance:
   
 8. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Tukubaliane kwamba hayo ni mawazo yako na jisikie vizuri tu kumwita Slaa vuvuzela kama nafsi yako inapata raha. Ni ajbu kuzungumza na watu ndani ya gari na yaonekana huwajui, hamfahamiani kabisa, leo unaleta maoni yao kwa kuwatukuza!

  Sorry for that thinking.
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  acha kusingizia watu wewe, hapa inaonesha kuwa wewe ndiye unaye mwuona Dr Salaa kuwa vuvuzera
  huna lolote
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Dr hawezi kuwa vuvuzela, CCM NDIO VUVUZELA, wameahidi mambo mengi katika miaka zaidi ya 30 lakini wapi, ni sanaa ndani ya sanaa. halafu mtu mzima unakuja na mawazo mgando kama wasomi wa UDOM. I hate this thinking of yours.

  Dr Slaa ni kamanda aliyeweka historia katika maisha.
   
 11. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,442
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Upuuzi mtupu!!!
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahaa..... watz bwana..... hata reported newz hamuijui inafananaje!... hahahh...... mie ni ripota tu..... habari ndiyo hiyo.....

  tutafakari kwa pamoja na tuchukue hatua muhimu october 31, 2010..... best wishez
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mwanajamvi mwenzangu ntaomba uniwie radhi kama ntakua too harsh....

  you invented the scene, you created the environment and most important you just want to see how this will roll

  ulichosema ni sahihi
  Dr. slaa will never, ever, ever change bunge alone, but he aint vuzizela

  lets not mix ukombozi halisi na personal vendetta

  i would say ordinary tanzanians are more of vuzizelas than our MPs...

  imagine how the deserted our parliament for WOZA and campaings

  eish!!!
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  its just another donkey supporter mazee
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili jina la Vuvuzela linampende zaidi JK, nadhani kampeni zikianza tu tuanze kumwita hivyo!
   
 16. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lighten up people.. I mean it is funny tho.. But considering what he says albeit loud, falls of def ears.. he is a lot like a vuvuzela! ROFLMAO.. :p
   
 17. c

  care4all Senior Member

  #17
  Jun 22, 2010
  Joined: Feb 25, 2007
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii story inaweza kuwa yakutungwa lakini pia inaweza kuwa niya kweli.... Kwa mtu anayepata nafasi ya kijichanganya na vijana au hata wazee kwenye vijiwe, daladala n.k kukutana na story kama hizi sijambo geni... hao tu wanaoitwa waandishi wa habari, pamoja na shule zao, wanavyo andika habari au kuchambua hoja/mada utatapika, sasa umma wa watanzania hasa wale bendera kufuata upo unategemea waseme nini?....wananchi wengi i wanaufahamu mdogo na mambo ya siasa ni za bongo...... Lakini pia hatuwezi sema huyu jamaa anayemuita Dr. Slaa vuvuzera kuwa hajui kitu, maana wapinzani nao mh....
   
 18. b

  buckreef JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vuvuzela litakuwa neno muhimu sana kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu. Kila mtu alitumia kwa faida zake. Watu wataitwa Vuvuzela kuanzia wapiga kura, madiwani, wabunge mpaka rais.
   
 19. W

  WildCard JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Dr Slaa anapulizwa na nani?
   
 20. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mie sidhani kwa mtanzania mwenye akili timamu anaweza kumwita Dr.Slaa vuvuzela, nadhani wewe ndo utakayekuwa vuvuzela la hapa jamii forum, usiwasingizie watu simama wewe kama wewe na useme Dr.Slaa ni vuvuzela, na wala sijui kama huwa unafikiria .....
   
Loading...