watz sasa kama wakongo

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,452
Jarida la Independent wametoa list ya Nchi mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na mambo maarufu yanayofahamika na kuwa kama tamaduni katika nchi husika. Nimeshituka kuona Bongo (Tanzania) ikiwa branded kuwa wafanyakazi wa kike ndo wengi zaidi huenda kuzidi wanaume( hongereni mama/dada zetu). but..........binafsi sikubaliani na hili jarida, Lakini wahenga walisema lisemwalo lipo....(Folks, what do you think? nini maoni yako...)
 

Attachments

  • upload_2017-5-4_16-17-10.png
    upload_2017-5-4_16-17-10.png
    212.1 KB · Views: 32

Similar Discussions

Back
Top Bottom