Watz mbumbu??????


pascaldaudi

pascaldaudi

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2009
Messages
534
Likes
4
Points
0
pascaldaudi

pascaldaudi

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2009
534 4 0
1.Wanahudhuria mikutano ya kampeni kwa wingi
2.Wanasikiliza hoja za mgombea wanapokuwa mkutanoni
3.Wakitoka hapo wamesahau mgombea ameongea nini ila wanamkumbuka kwa sura yake tu
3.Hata kama wakiambiwa wanamaisha magumu hawakubali
4.Hawapendi kupiga kura kumchagua,
5.Wao hujali mgombea anayemalizana nao faster, mfano No. 6
6.Ni wepesi wa kudanganywa na kudanganyika Mfano kupewa 5000, au 10,000 kumpigia kura mtu atakaye rudisha hiyo hela yake katika kipindi chake cha uongozi na kuchuma zingine za kuwahonga tena,
7.
8.
 

Forum statistics

Threads 1,251,992
Members 481,948
Posts 29,792,454