Waturuki wanaojenga SGR

Wapare mnaakili ndogo maana mnakula samaki kwenye picha na mchuzi uliojazwa maji.
 
siku mungu akinijalia kupata pesa kwa uwekezaji mkubwa siwezi wakeza tanzania huku nilipo kuna mzungu anajenga barabara aise jamaa wanamwibia mafuta kimoja mbaya zaidi hata polisi wa.kituo Cha karibu wanashiriki sijui.kama hii barabara itakuja kuisha dahhh magari wanayagonga kila siku dahhh
 
Dada zetu washabeba mimba za waturuki tayari

Tutegemee watanzania wapya mtoto anaitwa Abdalah yavuz
 
aliyepata ajira TAT atupe mrejesho mambo yanavyoenda pale Tabora
 
aliyepata ajira TAT atupe mrejesho mambo yanavyoenda pale Tabora
Wanaita watu tofauti tofauti kila siku kwenye interview na wengi ni lot 3 nne ipo jirani kuanza leo sijakatiza huko labda kesho.
 
Mwenyewe wajiita trash official kwahiyo tusimshangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…