Waturuki wanaojenga SGR

hata kama ana leseni, najua kuna utaratibu wa kiofisi wa kufuata inapotokea kadhia kama hiyo. hilo ni kosa moja kwa moja, ispokuwa adhabu iliyotolewa ndiyo ina mushkheli
 
Hawaibi wanachukua kilicho halali kwao. Umejiuliza hao waliopewa miradi wamepewa kifisadi na mafisadi kupitia kodi zetu. Sasa wakichukua walau kidogo ni kama wameshare. Mnalaamu sana vidagaa.
duuuh, inaonekana unajua mengi, kumbe YAPI MERKEZI alipewa kazi kifisadi??!!??, hebu nikumbushe makampuni yaliyoshindana katika kupata tenda hii
 
Hawaibi wanachukua kilicho halali kwao. Umejiuliza hao waliopewa miradi wamepewa kifisadi na mafisadi kupitia kodi zetu. Sasa wakichukua walau kidogo ni kama wameshare. Mnalaamu sana vidagaa.
Fambaf rafiki😂
 
Hiyo ni kweli kabisa. Yaani creativity, innovation yote ipo kwenye namna ya kuiba.
Kama watu wangetumia akili vizuri with ethics miaka 60 ya uhuru tungekuwa mbali sana. Waangalie Korea Kusini, Vietnam wamejitransform from dependent to donor country
Hatuwezi jiongoza
 
Yan kwao unyanyasike na kwako wakunyanyase hatar sana
 
Mmoja anatakiwa afuliwe haswa iwe mfano
 
Pamoja na wizi haifai kumuua mtu, zipo njia nyingi za kudili na wezi KWA kutumia akili tu
 
Ahhh ujanja ujanja tu wabongo.kwa hiyo kama unaumwa unampa mwenzio gari la kampun.Hilo ni kosa.acheni ujinga.mmekaa kiuwiz wiuz tu.Na unataka huruma kwetu.pumbavu
 
Waziri mhusika anasemaje?
 
Ahhh ujanja ujanja tu wabongo.kwa hiyo kama unaumwa unampa mwenzio gari la kampun.Hilo ni kosa.acheni ujinga.mmekaa kiuwiz wiuz tu.Na unataka huruma kwetu.pumbavu
sasa hapa unakosea, inawezekana bado unategemea ugali wa mama ukiwa mkubwa utaelewa tunamaanisha nini kiongos
 
Wote tunafahamu ni kosa kubwa sana kaka dereva alianza kuumwa wakiwa eneo ambalo ni njia ya tembo na mtandao hakuna pia ilikua usiku hawakuweza kufanya mawasiliano na kiongozi wao wa kazi. ila kilichoonekana ni kwamba maboss walikua na ugomvi na walimuondoa ili kuendeleza ugomvi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…