trash official
Member
- Dec 22, 2016
- 34
- 16
Pole sana kiongoziKiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Sio wakatili ni nyie ndio hamjui haki zenu na uoga wa maisha ilitakiwa mnatoa mfano kwa mmoja tu wangeambizana chap kwamba huku tulipo ni pamoto na wangewaheshimu..Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Wakati mwingine kuajiri watanzania inaweza kuwa ni changamoto kubwa sana. Tanzania ni nchi yangu na nawajua walivyo.Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Hata hivyo walimsaidia kama bado yupo kazini huyo jamaa yako, kawaida pahala popote kiwandani si ruhusa kuendesha mtambo wowote bila kibali cha kuendesha huo mtambo adhabu yake ni kufukuzwa kazi bila mashauriano yoyote na kama na huyo Dereva alimruhusu huyo jamaa yako wote lazima waondoke.Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Na ufanyaji kazi kazi zisizo na ubora anataka alipue kazi tu alipwe chake asepee ,ss wanapokutna na waturuki kwenye kila ktu wamenyooka bac mbongo akielekezwa anaona anaongeaa ,mm npo kwenye mradi huu toka 2021 mwezi wa nne ,nilichojufunza kwa wenzetu n watu wamenyookaa na ukikaa nao vzr utajifunzaa mengi na watakujali sanaaa ..Wakati mwingine kuajiri watanzania inaweza kuwa ni changamoto kubwa sana. Tanzania ni nchi yangu na nawajua walivyo. Wezi, wajanja wajanja, wavivu, wanapenda mkato... maneno na excuses kibao.
Chanzo ni mishahara midogo kwa nchi nyingine mishahara huwenda ni zaidi ya mara mbiliWakati mwingine kuajiri watanzania inaweza kuwa ni changamoto kubwa sana. Tanzania ni nchi yangu na nawajua walivyo. Wezi, wajanja wajanja, wavivu, wanapenda mkato... maneno na excuses kibao.
Sasa Ndo apigwe?Gari la 700m karibu 1b unampa mtu kienyeji akipata nalo msala anakukimbia na bima hawatalipa hiyo damage
Hawaibi wanachukua kilicho halali kwao. Umejiuliza hao waliopewa miradi wamepewa kifisadi na mafisadi kupitia kodi zetu. Sasa wakichukua walau kidogo ni kama wameshare. Mnalaamu sana vidagaa.Tatizo wabongo wamezidi wizi, ukiangalia miradi mikubwa inayojengwa yaani wabongo wanaiba hovyo Sana wakati miradi ni kwa manufaa yetu.
Mafuta wanaiba, vyuma vya Kila aina wanabeba, saruji wanabeba kokoto hadi mchanga
Akikaidi atapigwa tu by mizengo kayanza peter pinda.Sasa Ndo apigwe?