Watungaji wa katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watungaji wa katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by CLEVERMIND, Jan 21, 2011.

 1. C

  CLEVERMIND New Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hii katiba mpya walalahoi kama mimi wana nafasi ya kuchangia maoni yao....? Kifanyike nini...?mlala hoi apate nafasi hiyo....?
   
 2. P

  Popooo Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  CleverMind
  huu ndio uwanja wenyewe kwanini wajisha, inabidi kujiamini.
  na unachofanya.

  Hili nijukwaa linalo heshimika, kwa kuelimisha jamii
   
Loading...