Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,322
- 24,192
Where is common sense?
Hii sheria ya Takwimu inawasumbua wanasheria, hasa watunga sharia, tatizo ni kukosa weledi na umakini.
Hivi, tukiwa na wanasheria tena wa kiwango cha u Profesa, lakini wana tunga sheria kwa Trial an Error, hao tuwaiteje!
Na tatizo kubwa zaidi ni Bunge letu kupitisha sheria zisizo na viwango.
Pamoja na baadhi ya wabunge kupigia kelele muswaada wa sheria ya Takwimu ,lakini bado ikapitishwa.
Leo tunaadhirika baada ya mataifa na mashirika ya kimataifa kutunyooshea vidole na kutunyima mikopo na misaada ya maendeleo.
Wanasheria ,watunga sheria wasomi, acheni kufanya kazi kwa Trial and Error, inawapunguzia hadhi na weledi wa kazi.