Ndo maana nimesema watumishi watacheka, kunung'unika au kuchekaMtagundua kama hiyo 23.3% ni kama ilivyo au inakokotolewa
we kijamaa bhana...😀😀Mwl w tgts f jiandae kwà 280000 ongezeko la 1235000
Sio ramli chonganishi bali ni mjadala tuRamli changanishi zishaanza tayari, acheni watumishi nao walambe asali.
Kipi hiko?! Mkuu umekuwa shehe yahya HussainSubiri kilio na frustrations kutoka kwa watumishi kwani watachokutanacho, kitakuwa tofauti na matarajio yao.
Wakiongezewa kwa kiasi hiki mbona watumishi wataomba ajengewe sanamu mhe Rais.Mwl w tgts f jiandae kwà 280000 ongezeko la 1235000
Tunajua kinachoendelea, we subiri tu siku ifike.Kipi hiko?! Mkuu umekuwa shehe yahya Hussain