Watumishi wa serikali tu, tuonane hapa

Watumishi wa serikali tu, tuonane hapa

kuuuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
589
Reaction score
514
MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.

Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
 
Watumishi ni shamba la bibi kila mjanja anawavuna tu, njaa ya watumishi ni fursa tosha.... hata usiku utapokwisha.
 
Unataka upate takwimu za idadi ya hao watumishi wanaotumia Jf mkuu!!.
 
Tumuachie nani Crdb na nmb? Yaani badala ya kwenda kukopa benki, nije kukopa kwenye taasisi ya fedha! Utakuwa ni utani uliopitiliza aisee! Muendelee tu kuwakamata Wakuja, ila kwa sisi wajanja hamtakuja mtukamate kizembe hivyo.
 
CRDB na NMB hakuna riba?
 
Nyie jamaa ni matapeli kwanza mna riba kubwa isiyo vumilika..pili mnachukua kadi za benki za watumishi mnazimiliki kama zenu..salary ikitoka mnaenda kuwithdraw kama watumishi..

Kimsingi nyie ni wanyonyaji..
Serikali mulikeni hawa matapeli.
 
MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.

Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo.

1. Weka kiasi cha riba hapa.
2. Weka hayo masharti nafuu hapa.
3. Weka hivyo vigezo hapa mkuu.

Usipo yaweka hayo wazi, basi nitaamini kwamba nanyi ni wapigaji tu
 
CRDB na NMB hakuna riba?

Kwenye hizo benki nilizozitaja, riba yake inaeleweka na ina ahueni ingawa bado ipo juu! Kwenye taasisi za kifedha kama hiyo maboto, platinum, bayport, faidika, finca, nk riba wanajipangia wenyewe.

Huwa hawaoni kazi kuwatoza wateja wao hata mara tatu ya kile walicho wakopesha. Unaweza ukakopeshwa milioni 1 kwa mfano, mwisho wa siku unakuja kulipa milioni 3! Yaani mkopo pamoja na riba! Sasa si bora ukope benki, maana huko kanuni zao za mikopo ziko wazi.
 
Kama riba yao kubwa simuache, kwani mmelazimishwa? Ukienda kununua nguo ukiona bei kubwa utasema ni matapeli? Wivu ni stage ya mwisho kabla ya kuingia kwenye ushirikina
 
MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.

Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
Riba yenu ni asilimia 50% .Hiyo ndiyo nafuu?
 
Watumishi ni shamba la bibi kila mjanja anawavuna tu, njaa ya watumishi ni fursa tosha.... hata usiku utapokwisha.
 
MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.

Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
 
Mayapeli nyie
Screenshot_20210527-224528_Chrome.jpeg
 
Back
Top Bottom