Watumishi wa NMB Mafinga na kudharau wateja

lucy01

Member
Jul 30, 2021
74
119
Husika na mada tajwa hapo juu. Hii benki wafanyakazi wake hawajali wateja hasa tawi tajwa hapo juu sijajua hawajafundishwa customercare au shida ni nini

Nilipeleka changamoto yangu najaribu kufuatilia hawanipi majibu ya kueleweka.

Natamani hata hii kadi yao nikaitupe chooni.
 
Hawa watakuwa wamejifunza kutoka kwa wafanyakazi NMB wami branch ya Morogoro. Yani hawa wa Wami ni wakarimu wakati wanatembelea taasisi tu kutangaza mikopo. Ndio maana wafanyakazi wengi wanatimkia bank nyingine.
 
Back
Top Bottom