Watumishi matumbo joto, boss mpya Polisi yule...

Kila siku una sikia majambazi yameuliwa jee mumeshawahi kuonyeshwa miili yao
 
HATUWEZI KULILAUMU JESHI LOTE,KAMA HOJA INAVYOELEZA,TUTAWALAUMU ASKARI WACHACHE WASIO WAAMINIFU KWA TAIFA LETU NA WENYE TAMAA.
Na vp RTO nchini kuanzisha kamfumo wa vijana kukusanya elfu tano kutoka kwa madereva wa mabas na daladala vp? Nalo unasemaje ??? Mama peleka watu mikoani trafik ni janga lingine hilo kwa rushwa nchin
 
Hili baya Nani dhulma haswa,shukrani umeujulisha umma utalisgughulikia.
 
Hivi Polisi mnashindwa nini kuwa kama JWTZ. Mbona wenzenu Wana heshima yao katika nchi lakini pia wengi wao hawapendi kufanya uonevu kama hao polisi au Div iv ya 33 ndio shida ya yote haya?
Nature ya kazi za jw hawakutani na raia wao kazi yao ni kulinda mipaka ya nchi na kwenda kusaidia kuleta amani kwenye nchi nyingine lakini polisi anashinda na raia kila siku wapo wote vituoni na barabarani sasa unadhani jw na mwananchi watakwazana wapi.Jeshi la polisi lina maofsa wengi sana wachapakazi,waadilifu,wasomi na walishafanya kazi nzuri sana kwenye suala zima la usalama wa raia na mali zake hata huta mnae msema haya matukio ni ya msimu tu kwa uhodari wake yatasahaurika soon.
 
Mama Samia Ni miongoni mwa maraisi Ambao hawakurupuki na Wala hawaendeshwi kwa Miemko
 
Mmh wakati suala la ndugai alisema mwenyewe alipata hamasa baada ya kuona maneno ya wanaccm
 
HATUWEZI KULILAUMU JESHI LOTE,KAMA HOJA INAVYOELEZA,TUTAWALAUMU ASKARI WACHACHE WASIO WAAMINIFU KWA TAIFA LETU NA WENYE TAMAA.
Lakini pia tunatakiwa kuangalia rekodi za nyuma.Nakiri kweli wapo polis waadilifu sana,ila pia wapo wengi siyo waadilifu:
1:Mauaji mengi yamefanyika mikononi mwao hawajachukua hatua sitahiki,lakini pia maswala ya rushwa ni mengi
2😛olis wanatamaa ndogo ndogo,huwezi kuua mtu Kwa mil.33.7ambazo wakigawana Kwa usawa watu 7 ni sawa na km mil4.3 Kila moja
 
Ugawe kwA usawa yaani ww koplo ule sawa na mkuu wa kituo kwenye huo mgao kuna ngedere amepata laki 5-8 yaani wapuuzi sana
 
Nature ya kazi za jw hawakutani na raia wao kazi yao ni kulinda mipaka ya nchi na kwenda kusaidia kuleta amani kwenye nchi nyingine lakini polisi anashinda na raia kila siku wapo wote vituoni na barabarani sasa unadhani jw na mwananchi watakwazana wapi.Jeshi la polisi lina maofsa wengi sana wachapakazi,waadilifu,wasomi na walishafanya kazi nzuri sana kwenye suala zima la usalama wa raia na mali zake hata huta mnae msema haya matukio ni ya msimu tu kwa uhodari wake yatasahaurika soon.
Polisi hana tofauti na omba omba huo uadirifu anaupata wap?, Polisi wasomi toka lini (wakati tunajua Moja ya sifa ni kuwa na ufaulu wa hovyo hovyo)

Polisi awe mchapakazi labda kwenye rushwa na mauaji ya raia na kuzuia maandamano kuliko baki Ana 0 ya uchapakazi
 
Jeshi letu la Police linachangamoto zifuatazo:
1: Mfumo wa upatikanaji maaskari wetu. Juzi juzi tulirecruit form 4 yenye ufaulu wa chini ( japo ufaulu sio kigezo cha uadilifu)
2: Wanaoajiriwa ni watoto wa police line watoto wa maafande. Hakuna mzazi anayependa mwanae ahenyeshwe depo. Hata mzee ruksa alifuta jkt wakati dr mwinyi alipotakiwa kujiunga jkt ( chukua hiyo)
3: Udhaifu wa mafunzo: uraia mwema , uzalendo ,uadilifu ( tofauti na jwtz)
4: Upandaji vyeo. Undugu naizesheni ni donda ndugu. Na toa chochote upande ranks.
Kwa ujumla jeshi letu linahitaji complete reform.
Jeshi la tpdf lisimamie training ya police.
Hata mzee ruksa alifuta jkt wakati dr mwinyi alipotakiwa kujiunga jkt ( chukua hiyo)

Si chai hii?
Ninachofahamu JKT ilifutwa 1994. Intake ya mwisho ilikuwa Operation Oljoro.
Sababu ni Wadau wa maendeleo walidai ni matumizi mabaya ya fedha (ambazo kwa asilimia kubwa walikuwa wakiisapoti bajeti yetu).

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Na vp RTO nchini kuanzisha kamfumo wa vijana kukusanya elfu tano kutoka kwa madereva wa mabas na daladala vp? Nalo unasemaje ??? Mama peleka watu mikoani trafik ni janga lingine hilo kwa rushwa nchin
Hapana. Hii ya elfu tano Jiwe aliibariki alisema ni ya kupigia kiwi viatu.

Back
Top Bottom