Watumishi matumbo joto, boss mpya Polisi yule...

Watumishi matumbo joto, boss mpya Polisi yule...

Tatizo ni mfumo wa jeshi la Polisi na watumishi wake kukosa maadili.

Kubadili IGP hakutasaidia labda IGP atokee JWTZ ambako hakukulia kwenye maadili ya kipolisi.

Zaidi sana tutakua tunajifurahisha tu na tatizo kubakia pale pale.
Acha kukariri wewe ndugu
 
Huyo mama yako sjui nani yako, mbna mnakazana sana kumsafisha ilihali uchafu wake hausafishiki?

Yaan ushenz unaotendwa na watumishi wake na yeye kukaa kimya unamuita ana hekima? Hiyo ni hekima ama ushetan?

Haya kuna masoko yanayoungua daily, na yeye hana lolote afanyalo zaid ya kutoa pole isiyosaidia kitu chochote, yaan watu wanaharibikiwa mali zao na mitaji yao, sabbu ya uzembe wa zimamoto ambao wanakula Kodi za hawa wanyonge then mwenye mamlaka tunayemtegemea atende msaada yeye ananengua tu kwa kauli za kipumbavu.

Mauwaji yanayoendelea hayawezi kukoma kama huyu rais na washirika wake wataendelea kucheka cheka huku wafuasi wao na wapiga matarumbeta wao mtaendelea kumsifia huyo kikongwe wenu kuwa anawafungulia nchi.

Tuhesabu tuu, tulishapigwa kwa hawa viongozi takataka wa ccm.

Ni heri hii nchi wangechukua wapinzani ili na wao tupime kama watayafanyia kazi yale wanayoyalalamikia kila siku.

Acheni uchawa wa kijinga
 
Ijp ni mtumishi wa umma kwa utaratibu wa kiutumishi mtumishi wa umma awezi kujiuzulu bali anawezs kustaafu kwa hiyari ,kwa lazima au kustafishwa au kufukuzwa kazi cvinginevyo
 
Andiko ni zuri ndugu yetu.

Kwa kauli ya Mama kuwa "Jeshi la Polisi Mjitafakari" Kama ningekuwa mimi ningeandika barua ya Kujiuzuru haraka. Tena sio hilo tu, Ikiwa kama kulivyo tokea vifo vya kufuatana na Raia, mikononi mwa Polisi, hilo tu ningejiuzuru mapema.

Kilicho muudhi Mh Rais, nadhani ni kitendo cha IGP kuunda Tume ya Uchunguzi, wakati waliofanya hayo mauaji ni maafisa wake wa Polisi, Tume ya nini wakati umewashika watuhumiwa na vielelezo vyote unavyo?

Kitendo cha Mama kusema iundwe Tume huru na sio hiyo ya polisi pekee, ni kumwambia IGP ondoka. Sasa kama IGP halioni hilo, asubiri kama yaliyomkuta Spika aliyejiuzuru mapema. Hali ilipofika, IGP hata afanye nini, nadhani Mh Rais kisha piga mstari mwekundu.

Narudia, ushauri wangu kwa heshima na kwa uelewa wangu mdogo...IGP ajiuzuru mapema, asisubiri hiyo ripoti ya hiyo kamati huru. Na ningekuwa mimi pia, hiyo kamati ya polisi ya uchunguzi, ningeifutilia mbali, ibaki hiyo ya Mh Rais, kwani hapo Rais amesha mtega tena IGP apime uelewa wake...utaendeleaje kwa na kamati yako ya uchunguzi wa jambo ambalo Bosi wako Mh Rais ameunda kamati yake kuchunguza jambo hilohilo? Hivi hata hilo IGP haoni kuwa ni mtego tena mtego wa kinidhamu zaidi?

Yangu ni hayo tu.
TAFAKULI YA KI AKILI KUBWA HII..... 👏 👏 👏
 
Tatizo ni mfumo wa jeshi la Polisi na watumishi wake kukosa maadili.

Kubadili IGP hakutasaidia labda IGP atokee JWTZ ambako hakukulia kwenye maadili ya kipolisi.

Zaidi sana tutakua tunajifurahisha tu na tatizo kubakia pale pale.
Jeshi letu la Police linachangamoto zifuatazo:
1: Mfumo wa upatikanaji maaskari wetu. Juzi juzi tulirecruit form 4 yenye ufaulu wa chini ( japo ufaulu sio kigezo cha uadilifu)
2: Wanaoajiriwa ni watoto wa police line watoto wa maafande. Hakuna mzazi anayependa mwanae ahenyeshwe depo. Hata mzee ruksa alifuta jkt wakati dr mwinyi alipotakiwa kujiunga jkt ( chukua hiyo)
3: Udhaifu wa mafunzo: uraia mwema , uzalendo ,uadilifu ( tofauti na jwtz)
4: Upandaji vyeo. Undugu naizesheni ni donda ndugu. Na toa chochote upande ranks.
Kwa ujumla jeshi letu linahitaji complete reform.
Jeshi la tpdf lisimamie training ya police.
 
Jeshi la POLISI limesemwa toka zamani kwamba linatumia mfumo kikoloni watu wajinga wakawa wanakataa ikiwa ni pamoja na UVCCM ambao walisema wako bega kwa bega na jeshi la POLISI sasa leo Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania amesema iundwe tume tofauti na ile ya akina Siro.Ndani ya Jeshi la POLISI Kuna majambazi wengi sana wanaodhulumu watanzania mali zao watu wengi wenye kufanya biashara za madini waneuawa sana na jeshi la POLISI juzi tumeona marehemu Hamza amenyang'anywa madini yake na POLISI na baada ya Hamza kureact na kuuwa baadhi ya polisi jeshi la POLISI likaja na uchunguzi feki na wa kipumbavu kabisa kwamba marehemu Hamza alikuwa Gaidi huku wao wakificha Ujambazi na uharamia wanaowafanyia watanzania.Hili jeshi kwa wakati na karne tunayoishi limeshapoteza sifa kabisa na halifai.Limebaki na kazi ya Kuwabambikia KESI watanzania maskini na wanyonge,Angalia kesi ya Freeman Mbowe ni upumbavu mtupu ndio unaendelea pale mahakamani mashahidi wote ni wa kubumba tu.
Samia sio zao la ccm?
Hao wengine mawaziri sio zao la ccm?
 
Wachunguzwe wote hawa wakuu wa polisi nchi nzima maana kuna mengi yanaendelea na uadilifu sifuri
Hivi RPC/OCD unaombaje list na contacts ya matajiri/wafanyabiashara wote wakubwa wa eneo lako kiutawala?
Wakubwa wanawatuma wadogo kuja kwetu eti "kuchangisha" hela ya kutulinda.
IGP atoke JWTZ na TanPol yote ifumuliwe,hasa makao makuu na CCP.
 
Jeshi la POLISI limesemwa toka zamani kwamba linatumia mfumo kikoloni watu wajinga wakawa wanakataa ikiwa ni pamoja na UVCCM ambao walisema wako bega kwa bega na jeshi la POLISI sasa leo Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania amesema iundwe tume tofauti na ile ya akina Siro.Ndani ya Jeshi la POLISI Kuna majambazi wengi sana wanaodhulumu watanzania mali zao watu wengi wenye kufanya biashara za madini waneuawa sana na jeshi la POLISI juzi tumeona marehemu Hamza amenyang'anywa madini yake na POLISI na baada ya Hamza kureact na kuuwa baadhi ya polisi jeshi la POLISI likaja na uchunguzi feki na wa kipumbavu kabisa kwamba marehemu Hamza alikuwa Gaidi huku wao wakificha Ujambazi na uharamia wanaowafanyia watanzania.Hili jeshi kwa wakati na karne tunayoishi limeshapoteza sifa kabisa na halifai.Limebaki na kazi ya Kuwabambikia KESI watanzania maskini na wanyonge,Angalia kesi ya Freeman Mbowe ni upumbavu mtupu ndio unaendelea pale mahakamani mashahidi wote ni wa kubumba tu.
Kongole ndugu JET SALLI , umeandika ukweli mtupu.
 
..Polisi wakiumiza wapinzani hakuna hatua zinazochukuliwa.
 
Tatizo ni mfumo wa jeshi la Polisi na watumishi wake kukosa maadili.

Kubadili IGP hakutasaidia labda IGP atokee JWTZ ambako hakukulia kwenye maadili ya kipolisi.

Zaidi sana tutakua tunajifurahisha tu na tatizo kubakia pale pale.

Kwenye nchi yetu hii, ni kitengo gani cha Serikali ambacho tunaweza kujivunia kwamba kinatenda haki kwa Watanzania wanyonge?
 
Hivi RPC/OCD unaombaje list na contacts ya matajiri/wafanyabiashara wote wakubwa wa eneo lako kiutawala?
Wakubwa wanawatuma wadogo kuja kwetu eti "kuchangisha" hela ya kutulinda.
IGP atoke JWTZ na TanPol yote ifumuliwe,hasa makao makuu na CCP.

Naungana nawe kwa hili

Watu wameumizwa sana na kudhulumiwa sana vitisho vya kila aina halafu wanabebana sana na kuteteana mpaka wanashirikiana na hao wanaosimamia usalama wa mkoa au wilaya wote lao moja

Wajitafakari
 
Hakika Magufuli ni laana na mshenzi kabisa.
Ni heri alivyooza, katuharibia sana nchi hii.
Rais Samia Suluhu ni Rais bora kabisa
 
ok ila yule wa Geita angelala nae mbele tu

Musukuma ni mtu wa michongo, yule Mkurugenzi wa halmashauri ya Geita ni mchapa kazi kwani hata enzi ya JIWE ,Musukuma alijaribu kumsagia kunguni lakini alishindwa badala yake akasifiwa kwa utendaji wake mzuri!!

Kazi ya kusimamia matumizi ya zile hela za mkopo toka IMF walipewa wakuu wa Mikoa na ndio maana Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga MJEMA alilivalia njuga na kuwataarifu wakurugenzi wake kkuwa angekula nao sahani moja kama wasingefikia malengo ya ujenzi wa madarasa kama ilivyoagizwa!! Sasa kama hivyo ndiyo , wakuu wa mikoa yote ambayo wakuruglenzi wa wilaya wametenguliwa, nao inawabidi kuwajibika kwani walishindwa kuwasimamia kama ilivyoagizwa.
 
Back
Top Bottom