Watumishi 4 wafukuzwa kazi Mbeya, 2 wasimamishwa kazi Tarime

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamefukuzwa kazi na Baraza la madiwani baada ya kuambiwa wameisababishia Halmashauri hasara ya TZS Billion 1.

Watumishi hao n wakuu wa idara mbalimbali katika halmashauri hiyo.

Huko Tarime,watumishi wawili wamesimamishwa kazi baada ya kuchelewa kazini.

HABARI: Afisa Utumishi Jeveryson Kaguna na Muuguzi wa Hospitali ya wilaya Tarime wamesimamishwa kazi kwa kuchelewa kupandisha mishahara ya watumishi.

NIPASHE
 
Kama ni kweli wamefanya vizuri kwasababu dunia ya saizi hatuhitaji viongozi wazembe.
 
Dyu!!! Baada ya kukabwa kwenye posho nao wanakufa na watu wao!!!!!
 
Watu hawataki kuachana na maziea ya zamani, kweli pesa za bure walizizoea wengi.
 
Kaguna kwa Tarime ni sahihi asinamishwe kazi, anamajivuno na majibu ya hovyo kwa walimu. Tena angeondolewa kabisa.Ofisa elimu yeye sio jipu ni TEZI DUME KABISA, yule aliewekwa Selo na DC
 
Back
Top Bottom