Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,121
- 104,664
Watu wanatapeli hadi mia 🔥Watu wadhulumati sana
Watu wanatapeli hadi mia 🔥Watu wadhulumati sana
Tazama picha hapo imeandikwa
Wanapaswa waziache ziishe zoteKadri simu inavyokua na uwezo mkubwa ndivyo MB nyingi zinabaki pending zikishindwa kutumika.
Kuna anbao zikibaki MB 15 internet haifanyi kazi japo ukiangalia salio unazikuta
Kifaa unachotumia ndio kinaendesha hilo zoeziWanapaswa waziache ziishe zote