Watumiaji wa Tecno Spark 3 nisaidieni hapa

gumya

Member
Mar 4, 2015
92
28
Kama ilivyo kwenye simu nyinginezo ambapo unaweza kuruhusu "network speed status bar" ili kuonesha speed ya internet pindi unapowasha data.

Je, hiyo haiwezekani kwenye Tecno Spark 3? Kama inawezekana ni kwa namna gani? Nishatafuta sana bila mafanikio.

Msaada tafadhali.
 
Wengi humu wanatumia IPhone, Oppo,Samsung....nk

Ila Mimi natumia Itel A11
 
Mimi natumia spark 2 setting. => Network & internet => status bar network speed display you will turn it on
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom