Watumiaji wa 'Lubisi' (Bukoba drink)

Watumiaji wa 'Lubisi' (Bukoba drink)

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,055
Reaction score
781
1.jpg

nimezinasa kwenye blog ya mdau mmoja huko bk
BUKOBA PAMOJA

issue hapa ni kwamba wengine tumesoma kwa hii kitu,ni kinywaji maarufu sana huko bk,imenikubusha mbali
 
attachment.php


Jasiri haachi asili......ukinywa hii magoti yote pwaaaaaa........ikiwa kali tunapika konyagi
 
Back
Top Bottom