Watumiaji wa kivuko ferry acheni tabia ya kukaa kwenye ngazi mnakera sana

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Kuna tabia imezushwa na baadhi ya watumiaji wa Kivuko Ferry badala ya kukaa au kusimama eneo husika wao wanakaa kwenye ngazi za kupanda au kushuka.Ukweli ukaaji wa kwenye hizo ngazi kunaleta usumbufu mkubwa Kwa abiria wanaotaka kupanda au kushuka.

Tunawaomba wote wenye tabia hiyo waache huo ni ushamba. Pia tunauomba Uongozi wa Vivuko wawe Na watumishi wao Kwa ajili ya kuthibiti hali hiyo pamoja Na mambo mengine.
 
Ni wakazi wachache Sana wanaoutumia kivuko wapo humu ndani jf. Na Hao wachache hawakai kwenye ngazi.. Nakushauri NENDA kwenye uongozi uwape Ushauri wako mkuu. Asante
 
Upeo wako wa kuelewa ni mdogo wasomi wa ifm chuo cha mwl. Nyerere ni wachache? Watumishi wangapi wako kigamboni? Jaribu kutumia akili mkuu
 
Back
Top Bottom