Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Ndio mkuu in long term itakosa apps.Hv mkuu hizi simu zikikosa ios update si unaweza kukosa baadhi ya apps kwenye app store?coz kuna jama alikuwa na 4s ata instagram haipati.
Ndio mkuu in long term itakosa apps.Hv mkuu hizi simu zikikosa ios update si unaweza kukosa baadhi ya apps kwenye app store?coz kuna jama alikuwa na 4s ata instagram haipati.
Baada ya siku 3 tu maana hio IOS 13 inatoka Jumanne 10 wenye iphone 6 kushuka chini watakua kama hiv...sura zao....hahahakinachochekesha zaidi unakuta muuza duka kkoo anauza iphone 6,16 kwa 480k.hata hajishtukii.
wauza duka nao ni kaka hao wadada tu,ndio maana hata biashara zinawawia ngumu,mpaka wanaamua kudeal na matecno tu.
Baada ya siku 3 tu maana hio IOS 13 inatoka Jumanne 10 wenye iphone 6 kushuka chini watakua kama hiv...sura zao....hahaha