Watumiaji wa Bangi Tukutane hapa kushangilia

Hizi za bongo skuiz hamna kitu, hivi kitu cha (sour diesel) hakijafikaga bongo tu? Au zile Og Kush, Haze....yani sizioni
 
Msinikumbushe siku ya kwanza kutumia mmea niliishia kulala njaa,

Yaani kila nikipeleka mkono kwenye sahani ya chakula ambayo niliiona iko karibu lakini nikawa siifikii, matokeo yake nikawa kama naitisha sahani na watu kuanza kunishangaa matokeo yake nikanawa na kuishilizia zangu .
 
Back
Top Bottom